Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

Mimi huwa nahama wiki nzima. Nabeba vitu tararibu mpaka vinaisha.
Duh sasa unafanya hivyo ukiwa unahamia sehemu yenye umbali gani? Usafiri je? Au unabeba kwa kichwa au kwenye daladala? Hebu tufafanulie mkuu😂😂😂😂
 
Inaelekea una vitu vingi sana wewe.
Mimi mida yangu ya kuhama ni kati ya saa 10 jioni mpaka saa 2 usiku.
Vitu vingi wapi? Itakuwa anabeba kichwani huyo...ukiona hivyo hamna cha gari hapo..seriously, wiki nzima?😂
 
Kwa experience yangu na ya nyie wengine humu Jf na huko mtaani, tumezoea watu wengi wanaohama makazi/nyumba au vyumba vyao huhama wakati wa usiku....je kuna kipi nyuma ya pazia kwa raia kutumia usiku kuhama na si mchana?.......
GODORO. Hatupendi likaonekana kwani limechoka na ramani kibao.
 
Kwanza siyo kweli kwamba watu wengi wanahama usiku,maana hapa mjini dar,ukitoka nje hata sasa hivi utaona watu wanapita na vitu wanahama. Labda kwa mikoani,na huko mikoani kinachosababisha mtu kuhama usiku ni vitu vya ndani.

Watu wa kijijini wengi wana vitu vya hovyo hovyo,vitanda vya ngozi,vyungu,kata,ngozi,hirizi nk. Unakuta mtu amejaza makorokoro kibao kwenye mkokoteni lkn thamani yake elf 20. Kingine mchana ng'ombe na punda wanaofanyakazi za kusukuma mikokoteni wanakuwa kwenye malisho mpaka jioni.

Mjini mkuu hakuna huo utaratibu wa kuhama usiku,watu wanahama asubuhi,mkihama usiku na foleni za hapa Dar watoto utawatesa sana,watalala usiku wa manane..hawatakula kwa wakati,maana kupakia,kushusha na kupanga vitu ni kazi kubwa sana...!!
 
Weee pambana naye wewe mwanaume mwenzie mimi simuwezi![emoji23][emoji23][emoji23]
Sio vizuri kuchochea Ugomvi halafu referee ukakaa pembeni wachezaji waanze kuchezeana rafu😂😂
 
Sio vizuri kuchochea Ugomvi halafu referee ukakaa pembeni wachezaji waanze kuchezeana rafu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja niondoke zangu kabisa, sitaki nishuhudie ugomvi wenu[emoji1380][emoji1380][emoji1380]
 
GODORO. Hatupendi likaonekana.
Hapo umewazungumzia watu wa Masaki, Mbezi Beach, Oysterbay na Mikocheni hukoo.....tembelea usiku maeneo ya huko Tandale, Buguruni, Tandika, Manzese, Mburahati na kwingineko kwa namna hiyo uone namna magari yanavyopishana na mizigo ya samani za wanaohama!!!!....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja niondoke zangu kabisa, sitaki nishuhudie ugomvi wenu[emoji1380][emoji1380][emoji1380]
bora aisee😂😂kamalizie kubeba zile samani zako
 
Duh sasa unafanya hivyo ukiwa unahamia sehemu yenye umbali gani? Usafiri je? Au unabeba kwa kichwa au kwenye daladala? Hebu tufafanulie mkuu😂😂😂😂
Gari ya kukodi trip moja inabeba vitu vikubwa. Vingine nahamisha mwenyewe taratibu
 
Back
Top Bottom