Louis II
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 3,030
- 4,647
๐๐๐๐duuh aisee umeuwaakunguni usiku hawaonekani vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐duuh aisee umeuwaakunguni usiku hawaonekani vizuri
๐๐๐kwanini sasa..bado hamjatoa sababuHahahaha hata kama fenicha ni safi huwezi hama mchana.
๐๐๐๐๐Awataki ionekane mikojo ya kwenye godoro la watoto
๐๐hawataki vyombo vyao vionekane.....'cheap/expensive'
Watu wanahofia "fear of unknown."๐๐๐kwanini sasa..bado hamjatoa sababu
Vi Suzuki carry huwa vinakamatwa sana mchana na asbh hivyo wanavizia usiku.
Kuna baadhi ya haki ambazo binadamu amezaliwa nazo kwa sababu tu ya yy kuwa binadamu (by virtue of being a human being) mojawapo ni haki ya ufaragha (RIGHT OF PRIVACY)Kwa experience yangu na ya nyie wengine humu Jf na huko mtaani, tumezoea watu wengi wanaohama makazi/nyumba au vyumba vyao huhama wakati wa usiku....je kuna kipi nyuma ya pazia kwa raia kutumia usiku kuhama na si mchana?.......
Aisee nimecheka sana, ila wabongo wa juu kwa valuation ni Nouma!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina hama usiku cpend michoro ya mchana(waswahili walpewa karama ya kuthaminsha your property values..Macho y watu sumu.
dah noma tumetoka mbaliha ha nakumbuka zamani kipindi nipo mdogo huko mkoani watu walikua wanalalia magodoro ya maranda ya mbao hivyo siku ya kuhama usiku kama kawaida anaanza kubeba vyote kisha godoro analitelekeza!!
๐๐๐๐Usiombe nyumba iwake moto mchana halafu uwe unaokoa hayo mavitu uliyoyataja hapo juu.....utatamani yateketee tu kwa aibu1. Vyombo na furniture chakavu
2. Vyombo na furniture classic
3. Umbea wa wabongo
4. Usumbufu wa 'manesi' barabarani.
5. Usumbufu wa maliasili (kitanda unaweza kuambia ukilipie mambo ya misitu sijui nini wakati sio kipya)
6. Any of the above.
Imekua kama ushirikina hivi...ila kuna hoja ya mchangiaji mmoja nimeielewa zaidi...nadhani miundominu ya vitu commonly samani ndio kikwazoAfu kuna jamaa juzi tu kahama usiku daaah haka katabia dizaini km kamezoeleka
๐๐๐ni kutokujiamini tu....hapa mjini kila mtu na maisha yake mbona!!Kuficha aibu na faragha pia
Hamna mtu apendae mambo yake au vitu vyake vionekane
๐๐๐Labda kama unabeba kwa kichwa na si gariMchana kuna jua kali na ni muda wakufanya usafi kule unakohamia usiku
๐๐๐๐ila kweli aisee maana uswahilini kuna vitu vya ajabuKuna baadhi ya haki ambazo binadamu amezaliwa nazo kwa sababu tu ya yy kuwa binadamu (by virtue of being a human being) mojawapo ni haki ya ufaragha (RIGHT OF PRIVACY)
Wanahama usiku kwa sababu ya kulinda right of/to privacy)
Mimi huwa nahama wiki nzima. Nabeba vitu tararibu mpaka vinaisha.Kuhama mchana na jua kali sio jambo rahisi. Pia usiku watu ndio wanakuwa na muda baada ya kumaliza shughuli za kutwa.