samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
Kwasababu za kiusalama, vibaka wakikodolea vitu wanaweza vitamani nakuvifuata nakusababisha usumbufu na madhara yanayoweza kuepukika. Sasa basi ili kuepuka hali hiyo dawa nikuhama usiku.
mkuu sio kwamba wanaficha kunguni na magodoro yenye ramani za mikojo?
pia wengine hupenda kuchnja kuku jioni, kwanini?
Ingeiweka vizuri kwa kusema "wengi wetu tuna vitu au vyombo vichakavu"Wengi wao wana vitu chakavu
mbwembwe nyingi mtaani, kumbe hali mbaya nyumbani... tv ya urithi, redio mkulima, kitanda cha kamba kunguni wamepiga kambi, aah subutu !----- gani ahame mchana!!!!!!!! toroli linaingia tatu au nne za usiku kimyakimya!!Wengi wao wana vitu chakavu