Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Kuna makamanda hili suala hawajaliona kabsa umekamatwa na umeambiwa una kes ya kujibu kabla hujajitetea mtu aseme nimekusamehe ni sawa ukimfumania mkeo alafu usimuulize kitu ujifanye umemsamehe bila hata kumpiga kofi moja ni dharau sana hyo
 
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) leo Ijumaa amewasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uujumu Uchumi, Dar es Salaam.


Mbowe anatakiwa aifungulie mashitaka jamhuri kwa kupotezewa muda na mateso aliyoyapata muda wote alipokuwemo gerezani, afidiwe hasara za biashara aliyoipata ndani ya muda wote alimokuwemo gerezani.
 
Mchongo umekufa wa kupiga pesa.
 
Kama kawaida yako, wewe ulikuwepo hapa JF na bandiko #2. Tukueleweje?

Una ajira ya kutegea na kutegeshea taarifa?
 

Hii ni dedication kwa Aikael, leo nipo happy sana, nimetoka mbali na Mwamba! Kuna nyingine 3 zinakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…