Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Ni kweli unayosema lakini CCM haiwezi kuzuia Mungu anachoamua kukifanya 17032021Ccm inaweza kumfanya mtu yeyete hapa nchini inachotaka!
Hangaya angeamua kumfunga Mbowe angemfunga bila shida yeyote
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app