Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Unaelewa unachosema?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ukiona tv imebadilisha sauti au muonekano wa picha Fahamu kuwa kuna energy imetumika.
 
DPP akitoa kesi na mshitakiwa akiachiwa huru aweza kukamatwa tena na kushitakiwa upya- hivyo usiwe msahalifu. Pole wewe maana utakosa mihogo na mahindi ya kuchoma pale mahakamani
Kesi ndio imeshafutwa hivyo!Hapo ni mwendo wa Katiba mpya kwenda mbele!
 
Penal code ipi inayotoa option ya viongozi wa dini kumaliza kesi?
 
Wewe ni maamuma ni Bora ukae kimya.
 
Penal code ipi inayotoa option ya viongozi wa dini kumaliza kesi?
Malizia law school ndio uje hapa, tunaongelea criminal procedure Act, mburula wewe
 
Kisheria sio sahihi kuiondoa kesi wakati mahakama imeona mtuhumiwa tayari ana kesi ya kujibu...
Mahakama sio msemaji na akili za watanzania

Kama ni gaidi tunajua pia kama sio gaidi tunajua

Watu wamefurahi Rais kuachana na mambo ambayo jamii haiungi mkono

Mzee dunia imebadilika sana Ogopa kitu inayoitwa disclaimers

Hadhira ina mtazamo wake nowadays. Hata hivyo karibu kila kitu mambo ni hayo hayo mathalani kwenye soka mashabiki wakikukataa hata kocha akikupenda mpaka kufa utatoka tu

Sasa Rais (anaeipa mahakama amri) ni nani ni nani wapingane na hadhira?
 
Viongozi wa dini walitumwa na Mbowe, akiwemo yule askofu wa chadema, KKKT Karagwe
 
Mukuu hebu iweke kwa lugha rahisi tuelewe sisi layman
 
Viongozi wa dini walitumwa na Mbowe, akiwemo yule askofu wa chadema, KKKT Karagwe
Mbowe alishaweka wazi toka kipindi kile Zitto anajifanya anamuombea msamaha kuwa hayuko tayari kuomba msamaha wala huruma ya Rais. Akasema yupo tayari kufia gerezani. Mmeona maji yanazidi unga mkamtuma shehe wenu ajifanye anaomba msamaha. We are too smart for that...Poleni maccm
 
Mukuu hebu iweke kwa lugha rahisi tuelewe sisi layman
Mukuu hebu iweke kwa lugha rahisi tuelewe sisi layman
91.-(1) Katika kesi yoyote ya jinai na katika hatua yoyote ile kabla ya hukumu au uamuzi, kama itakavyokuwa, Mkurugenzi wa Mashtaka anaweza kuweka nolle prosequi, aidha kwa kueleza mahakamani au kwa kuiambia mahakama husika kwa maandishi kwa niaba ya Jamhuri kuwa mwenendo hautaendelea; na baada ya hapomtuhumiwa ataachiwa mara moja kuhusiana na shtaka ambalo nolle prosequi imewekwa na kama amepelekwa gerezani atatakiwa kuachiwa, au kama yuko chini ya dhamana wadhamini wake watakoma kuwa wadhamini; lakini kuachiwa huko kwa mtuhumiwa hakutachukuliwa kama kizuizi kwa mashtaka mengine ya baadaye dhidi yake kwa kutumia maelezo hayo hayo.

 
A

afadhali wewe umetambua hilo maana
  1. alikamatwa
  2. akashitakiwa...
Wewe unadhani Hangaya alikuwa anafurahi kila akiingia mitandaoni anakutaa na hashtag za Mbowe sio gaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…