fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Unaelewa unachosema?Huku ni kuchezea rasilimali za umma na pesa za walipa kodi.
Unarndesha Criminal session kwa pesa nyingi unalipa mawakili wa serikali, jaji na watumishi wa mahakama.
Kama ushahidi ulikuwa hautoshi kuwatia hatiani watuhiwa Nolle prosequi ilitakiwq iwe entered mapema kabla ya utetezi kupangwa.
Jaji alipitia majalada yake na kuona kuwa ushahidi uliotolewa umeonyeshawa watuhumiwa wanakesi ya kujibu.
Leo hii Dpp bila aibu anawachia watuhumiwa wenye kesi ya kujibu? Ina maana alidanganya ili alipwe pesa za walipa kodi kuendesha kesi ya uongo? Jaji alipitia majalada yenye kesi ya uongo?
Wote wapige chini kazi.
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app