Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Hamjielewi!Comment zako zinaonesha ni mtu uliyejaa sonona na huamini unachokishuhudia yaani bwana Crimea Leo umekalia kitu kigumu
Roho ipo juu juu kama mkia wa mbuzi nyeti nje nje
Poleeeeeeee
Naliaaaaa
Poleeeeee
Naliaaaaa [emoji445][emoji444]
Poleeeeee
Sanaaaa![emoji445][emoji444]
[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
Kenya tu hapo yani selikali imfunge mtu wa upinzani kingenuka mapemaa!
Ila nyie hapa mtu kazoea jela mpaka ameombewa msamaha na maaskofu. Kisha naada ya kuachiwa mnaanza kushangilia? Huo ndio maana halisi ya uzuzu sasa.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app