Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Comment zako zinaonesha ni mtu uliyejaa sonona na huamini unachokishuhudia yaani bwana Crimea Leo umekalia kitu kigumu
Roho ipo juu juu kama mkia wa mbuzi nyeti nje nje
Poleeeeeeee

Naliaaaaa
Poleeeeee
Naliaaaaa [emoji445][emoji444]
Poleeeeee
Sanaaaa![emoji445][emoji444]

[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
Hamjielewi!

Kenya tu hapo yani selikali imfunge mtu wa upinzani kingenuka mapemaa!

Ila nyie hapa mtu kazoea jela mpaka ameombewa msamaha na maaskofu. Kisha naada ya kuachiwa mnaanza kushangilia? Huo ndio maana halisi ya uzuzu sasa.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo ulitakaje Kwa mfano?
😁😁😁😁😁🔥🔥
 
HAYUKO HURU; YUKO NJE YA GEREZA

Niwakumbushe?

Mwezi Februari 1990, Nelson Mandela akatolewa jela. Akaja Tanzania kushukuru. Tukajipanga na mabango na kushangilia MANDELA IS FREE!

Akasimama Kambarage, akasema MANDELA IS NOT FREE, HE IS OUT OF PRISON. Kwa nini? Kwa sababu sheria iliyomuweka to gerezani miaka 27 bado ipo haijafutwa.

Mbowe ametoka gerezani alimokaa miezi 8. Watu wanashangilia kuwa MBOWE YUKO HURU. Mimi nasema hayuko huru bali YUKO NJE YA GEREZA kwa sababu sheria iliyomshtaki na kumnyima dhamana bado haijafutwa.

Punguzeni mashangilio, boresheni fikra na mikakati ya kuifanya Tanzania kuwa mahali ambapo HAKI inapigana busu na AMANI.

Mbowe pole na hongera!
Na baba Askofu B. Bagonza PhD.
 
Hili jambo. Huko. Mbele linaghalama kubwa NA huenda likaighalim serikali, nawaza kwa mtazamo chanya kabisa, lets us the time observe
 
.

zitto.jpeg
 
We would like to know the cost incurred by the state ie state attorneys, judges and supporting staff and not forgetting witnesses.
 
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.

Leo kuna Ibada ya Njia Ya Msalaba aliyopitia Bwana wetu Yesu Kristo kuelekea kwenye ukombozi wa Wana wa Mungu.

Ni imani yangu Simon wa Kirene atatuongoza!

Updates;

Nawatakia Chadema wote Ibada njema ya Njia ya Msalaba.

Mungu ni MWEMA wakati wote.

Jumaa kareem.

The End.
The fiction is ultimately over. "Ni kweli njia ya mwongo ni fupi. Aksante Mola wetu".
 
Sasa Kama walikutwa na kesi ya kujibu, sio kwamba tuhuma za upande wa serikali zilikuwa na ukweli juu ya makosa waliokuwa wakituhumiwa?

Na kwanini serikali ilisuburi mahakama iwakute na kesi ya kujibu ndipo wafute kesi yao bila watuhumiwa kuthibitisha kuwa hawakutenda makosa hayo?

Sio kwamba serikali imeamua tu kuziba mwanya wa watuhumiwa kujitetea ili kudhihirisha uongo wa kesi iliyokuwa ikiwakabiri?

Je ni Bora kuachiwa huru kwa namna hii au ingependeza waendelee kujitetea na kuonesha uwongo wa serikali mahakamani na kushinda kesi yao?

Kwangu ni sahihi watuhumiwa hawa kuwa uraiani mapema kwasababu wameteseka rumande ikiwa pengine hawakutenda kosa lolote, Ila nashindwa kufurahia kwasababu naona bado majina ya watuhumiwa hayasafishwa dhidi ya tuhuma walizokuwawakituhumiwa nazo.
 
Sasa CDM itatulia, matamko ya Mnyika ya jazba bila matendo yalikuwa yanakera sana! Soon tunamshuhudia Mbowe akienda kumsalimia Bi Mkubwa Ikulu
 
Mimi ninhependa kuona katika hili watu wasinyosheane vidole au nani kashinda nani kashindwa tuchukulie hili kama mwanzo mzuri kurudi katika siasa za kistaarabu na ushindani. Tatizo langu kubwa na hili sio kosa la yoyote ni sheria zetu ni wazi hakuna mihimili mitatu nchi hii mhimili ni mmoja tu hilo wala tusibishane. Nchi zingine mwendesha mashataka wa serikali ni mtu mwenye power ua kumshtaki yoyote ikiwa sheria zimevunjwa na hawajibiki tumeona Israel kuna kipindi waziri mkuu yuko madarakani lakini alipelekwa mahakamani wako na uhuru 100%. Kwa hili leo ni wazi malekezo yanatoka juu na uhakika hata Hakimu alikuwa anajuwa nini leo kinatokea asiseme mtu kama hakukuwa na script ya tukio la leo. anyway maisha yaendelee kuna ya kujifunza mengi tu.
 
Naomba kuuliza kutoka kwa wanasheria mbowe kakutwa na kesi ya kujibu lakn kabla hajajibu DPP Hana Nia ya kuendelea na kesi . Kuna mtego wowote hapa?
Baada ya mashtaka kunyimwa majina ya mashahidi na anuani zao wakaona watapigwa ambush!
 
Sasa Kama walikutwa na kesi ya kujibu, sio kwamba tuhuma za upande wa serikali zilikuwa na ukweli juu ya makosa waliokuwa wakituhumiwa?

Na kwanini serikali ilisuburi mahakama iwakute na kesi ya kujibu ndipo wafute kesi yao bila watuhumiwa kuthibitisha kuwa hawakutenda makosa hayo?

Sio kwamba serikali imeamua tu kuziba mwanya wa watuhumiwa kujitetea ili kudhihirisha uongo wa kesi iliyokuwa ikiwakabiri?

Je ni Bora kuachiwa huru kwa namna hii au ingependeza waendelee kujitetea na kuonesha uwongo wa serikali mahakamani na kushinda kesi yao?

Kwangu ni sahihi watuhumiwa hawa kuwa uraiani mapema kwasababu wameteseka rumande ikiwa pengine hawakutenda kosa lolote, Ila nashindwa kufurahia kwasababu naona bado majina ya watuhumiwa hayasafishwa dhidi ya tuhuma walizokuwawakituhumiwa nazo.
Hiyo ndio ilikuwa plan wakutwe na hatia ya kujibu halafu msamaha utakuja kwa sababu mahakam ingesema hawana cha kujibu ingechafua serikali ila kwa sasa inaonekana kama msamaha tu wa mama lakini walikuwa na la kujibu. Mahakama ikisema una lakujibu ina maana kuna shida sasa DPP ndiye wa kuulizwa vipi unawaachia magaidi mtaani?
 
Kazi nyingine aliyopewa ni ipi? Au amestaafu sasa? Viinua mgongo vyake je?
 
Ila Chedema wanashida kama ya CCM tu huko mbele wajifunze kuwa kuna kukosolewa sio kila anayepinga na mawazo yao ni mbaya lazima waachie democrasy kwa upana ndani ya chama chao hapo wanaweza kuwanyoshea kidole CCM ila hawana ukikosoa chama tu unashambuliwa ni kama CCM ni walewale tu. Hata hapa nitatukunwa tu kwa kusema ukweli tu
 
Back
Top Bottom