Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

ha ha ha Mtikila msema ovyo!! kufurahisha genge...katika kumi chukua moja

HAHAHAHAHAHAHAHA!!!!!NA HILO MOJA LIWE LA KUISEMA CCM AU KIONGOZI WA CCM IKIWA CHADEMA AU VIONGOZI WAKE BASI AWEKENI KUNDI LA TISA NA MYAACHE....WIKI ILIOPITA NILIWAAMBIA MTIKILA NI KICHAA WA KUNUNULIWA TU MKANIPINGA KWA KUWA ALIISEMA CCM,LEO TUMEMSOMESHA KIUME AMEWAPIGA MNAWEWESEKA,NA BADO.
 
The Mbowe issue is a clear one .Mbowe issue ina ukweli mwingi juu ya mkopo na alikopa zamani kabla hajaingia Siasa .Mbowe issue neno fisaid si sahihi kwake maana hakuna ambalo ni jipya nahata NSSF wana back off kwa kuwa wanajua nani kakopa kweli na nani kachota .Mbowe all he need ni kumaliza mzozo kwa kulipa anachotakiwa basi lakini si akabwe kulipa mapesa zaidi ya makubaliano . Mtikila si Kichaa ial he do miss some points na hapo ndipo anapo onekeana kichaa lakini si kwa kila kitu .Uhuru wa mtu kusema lolote ni sawa na madai mazito tuwe na utamaduni wa kuyaacha yathibitishwe na vyombo kama Mahakama kwa uwazi . Swala la Mbowe si la kifisadi kama kuna mtu ana ushahidi wa kwamba alikpoa B84 na si 15m alete hapa .Ndiyo maana JF we are here .Ikithibitika basi tutamuomba Mbowe ajiondoe kwa Chama pamoja na kwamba alikopa akiwa nje .What matters ni intergrity tu na manufaa ya wengi ambayo ni Chama na si biashara binafsi ya Mbowe .Again guys wakati tunangoja habari za Mbowe ambazo ziko Mahakamani na hakuna ushahidi wa file kuchomwa moto nk , maana hiyo ni Fraud na Mbowe anaweza kupata kifungo kama ni kweli , tuendlee kuibana serikali na EPA na matukio mapya ta BOT .Do not be swayed guys CCM wako kazini .
 
Mkuu wanaweza pia kuwa maadui zake ndani ya Chadema, ndio wanao-pump hii kitu ukweli ni kwamba haimsaidii kisiasa, benki ya NSSF tayari imeshakubalika na jamiii yetu kuwa ni ya kifisadi, no question about it na kwamba inakopesha mafisadi, tena hii hoja imejengwa na upinzani na ikakubalika na wananchi, hiyo ni political fact ya bongo Freeman, hawezi kuikwepa, sasa the political impact hapa sio legality of the ishu, au the unfairness of maadui wa Freeman kisiasa, tatizo ni the moral authority ya Freeman kusimamia ishu muhimu za taifa kama alivyokuwa kabla ya hii ishu kutokea in public, hilo halikwepeki,

ninarudia tena Freeman, alimelize hili tatizo, now anaweza kuoshwa na haraka na mambo mawili tu, either kusema wazi kuwa ninaenda kesho kulilipa, au sidaiwi ni waongo, otherwise wananchi wetu wa bongo wasioelewa vizuri kinachoendelea, na kwamba Mwalimu bado yupo, I m afraid kuwa Freeman anacheza kwenye box la maadui wake kisasa on this ishu.

It is only my opinion, halafu Mkulu Freeman, unajua wazi kuwa marehemu old man angekuwepo, angeenda kulilipa bila hata ya kukwambia, kwa sababu knowing him as I do this is the last thing angependa kusikia on mtoto wake, Please mkuu I am appealing to you personally, kwamba kama hilo deni lipo kweli, lilipe mkuu, turudi kwenye focus ya taifa. Kumbuka ishu nyingi unazorushiwa zimeshindwa ku-stick kwa sababu ya kukosa ukweli, but this one inaoneakana ina ukweli, sasa kwa wale operative wa siasa chafu sasa ni wakati wa kuingia kazini na kujaribu kuunganisha na zingine, ndio maana ni muhimu kuizima hii sasa.

Ahsante Mkuu!
 
Mkuu ningependa kukuuliza swali kwamba hizi fwedha hawa NSSF huwa wanazipataje na inakuwaje wao wanajiendesha kama benki?

Lich. ya tuhuma kwa huyu mheshimiwa nimewahi kusikia tuhuma zingine kwa watu wengine pia ambao wameingia humo na kutaka hio pesa.

Kwa sababu kama mheshimiwa Mbowe alitaka mkopo kama huo si angeenda benki?
 
Mkuu wanaweza pia kuwa maadui zake ndani ya Chadema, ndio wanao-pump hii kitu ukweli ni kwamba haimsaidii kisiasa, benki ya NSSF tayari imeshakubalika na jamiii yetu kuwa ni ya kifisadi, no question about it na kwamba inakopesha mafisadi, tena hii hoja imejengwa na upinzani na ikakubalika na wananchi, hiyo ni political fact ya bongo Freeman, hawezi kuikwepa, sasa the political impact hapa sio legality of the ishu, au the unfairness of maadui wa Freeman kisiasa, tatizo ni the moral authority ya Freeman kusimamia ishu muhimu za taifa kama alivyokuwa kabla ya hii ishu kutokea in public, hilo halikwepeki,

ninarudia tena Freeman, alimelize hili tatizo, now anaweza kuoshwa na haraka na mambo mawili tu, either kusema wazi kuwa ninaenda kesho kulilipa, au sidaiwi ni waongo, otherwise wananchi wetu wa bongo wasioelewa vizuri kinachoendelea, na kwamba Mwalimu bado yupo, I m afraid kuwa Freeman anacheza kwenye box la maadui wake kisasa on this ishu.

It is only my opinion, halafu Mkulu Freeman, unajua wazi kuwa marehemu old man angekuwepo, angeenda kulilipa bila hata ya kukwambia, kwa sababu knowing him as I do this is the last thing angependa kusikia on mtoto wake, Please mkuu I am appealing to you personally, kwamba kama hilo deni lipo kweli, lilipe mkuu, turudi kwenye focus ya taifa. Kumbuka ishu nyingi unazorushiwa zimeshindwa ku-stick kwa sababu ya kukosa ukweli, but this one inaoneakana ina ukweli, sasa kwa wale operative wa siasa chafu sasa ni wakati wa kuingia kazini na kujaribu kuunganisha na zingine, ndio maana ni muhimu kuizima hii sasa.

Ahsante Mkuu!

Nakubaliana nawe Mkuu,inawezekana kuna efforts za nje na ndani ya chadema katika suala hili.Ukiangalia profile ya sasa ya chama hicho,uenyekiti wa Mbowe umekuwa as if it's a ceremonial posts,majina yanayovuma zaidi ni akina Slaa,Zitto,Chacha Wangwe na MPs wengine.Pengine ni muhimu kwa wenyeviti wa vyama vya upinzani kuwa makini wanapokimbilia kugombea urais kwani kulingana na taratibu zetu,wakiukosa urais ndio unaweza kuwa mwanzo wa msafara wa wao kusahaulika kisiasa.
Kuna uwezekano kwamba baadhi ya viongozi wa Chadema walio bungeni wanaomwona Mbowe kama asiye na umuhimu mkubwa,na si ajabu mbio za nomination 2010 ndio zimeanza.Vita vya kunguru furaha ya panzi,na CCM lazima isherehekee yanayoendelea ndani ya mpinzani wake mkuu.
 
Siamini kama haya yako na yanatokea Chadema.Na siamini kwamba kuna move on Mbowe's back ila huyu ni Rostam na Ballile na hakuna zaidi .Chadema haiwezi kuingia katika mgogoro huu kwa jinala Mbowe .Kama ataona kakabwa koo na hayuko straight Mbowe can step down na Chama si Mbowe pekee .Again nasema mgogoro huu ni wa CCM kutaka kuzima issues hapa .Ballile na Rostam. Wakati gazeti la Rostam linaandika habari hizi za zamani sana , Rostam aliinua simu na kumpigia Mbowe on the same day na kusema wameandika bila yeye kujua so asimfikirie vibaya .Lakini Rostam anafahamika na ana historia ya ku twist mambo .He did the same na Mengi na kijana Malima as well .Ndiyo siasa zake na maisha kama Nchimbi haongei ila matendo machafu ni mengi .
 
hilo si tatizo la NSSF tu bali vyombo vingi vya fedha vinavyotoa mikopo hapa kwetu, jamani ni unyonyaji hasa kwa akina sisi maana kama hao wenye mitaji kubwa na uwezo wa kuendesha kesi wanahaha jiulize je akina sisi huko vitongojini, ukiwa na shida na uhitaji huna muda wa kufikiria riba, ila pale unapobanwa ndio unaanza kujadili yote,
nakumbuka nina pana jamaa mmoja mwalimu alitaka achukue mkopo benki fulani ambayo kwa sasa imejiingiza hata ktk shule za watu binafsi kukopesha wafanyakazi, ila yeye alishtuka na kuuliza mapema, akakuta kuwa pesa aliyotaka ilitakiwa alipe kwa miaka 5, riba ni 13% kama sikosei ila riba hiyo alitakiwa kuilipa kila mwaka kwa kiasi cha deni alilonalo kwa mwaka huo, na kama angepata bingo pahala na kuamua kulipa deni lote mara moja kabla ya hiyo miaka 5 alitakiwa alipe na faini,

je tutafika kweli hii mikopo ni ya kuinua au kuua, ndiyo hayo sasa ya Mbowe amelipa nyingi kuliko alizotumia lakini bado kesi ni yake ...tunasubiri kujua kitakachojiri ila pana haja ya kuchunguza na kurekebisha terms za mikopo kama kweli tunalengo la kusaidia marekebisho yaliyofanyika bado hayajaleta nafuu!!
 
Mkuu wanaweza pia kuwa maadui zake ndani ya Chadema, ndio wanao-pump hii kitu ukweli ni kwamba haimsaidii kisiasa, benki ya NSSF tayari imeshakubalika na jamiii yetu kuwa ni ya kifisadi, no question about it na kwamba inakopesha mafisadi, tena hii hoja imejengwa na upinzani na ikakubalika na wananchi, hiyo ni political fact ya bongo Freeman, hawezi kuikwepa, sasa the political impact hapa sio legality of the ishu, au the unfairness of maadui wa Freeman kisiasa, tatizo ni the moral authority ya Freeman kusimamia ishu muhimu za taifa kama alivyokuwa kabla ya hii ishu kutokea in public, hilo halikwepeki,

ninarudia tena Freeman, alimelize hili tatizo, now anaweza kuoshwa na haraka na mambo mawili tu, either kusema wazi kuwa ninaenda kesho kulilipa, au sidaiwi ni waongo, otherwise wananchi wetu wa bongo wasioelewa vizuri kinachoendelea, na kwamba Mwalimu bado yupo, I m afraid kuwa Freeman anacheza kwenye box la maadui wake kisasa on this ishu.

It is only my opinion, halafu Mkulu Freeman, unajua wazi kuwa marehemu old man angekuwepo, angeenda kulilipa bila hata ya kukwambia, kwa sababu knowing him as I do this is the last thing angependa kusikia on mtoto wake, Please mkuu I am appealing to you personally, kwamba kama hilo deni lipo kweli, lilipe mkuu, turudi kwenye focus ya taifa. Kumbuka ishu nyingi unazorushiwa zimeshindwa ku-stick kwa sababu ya kukosa ukweli, but this one inaoneakana ina ukweli, sasa kwa wale operative wa siasa chafu sasa ni wakati wa kuingia kazini na kujaribu kuunganisha na zingine, ndio maana ni muhimu kuizima hii sasa.

Ahsante Mkuu!

Sasa aende kulipa bei gani wakati NSSF hawataki kusema wanamdai bei gani? Hebu semeni jamani. Mbowe anadaiwa bei gani na NSSF? Akalipe zipi? Kwa nini NSSF haitaki kukutana kwa majadiliano wala haisemi inamdai bei gani?

Asha
 
Mtanzania

hivi umewahi kuchukua mkopo wowote hapo nymbani iwe ni bank au fund.

Kwa uzoefu niliopata baada ya kukopa hela za (agricultural inputs support fund)zilizokuwa zinatolewa kupitia exim bank (interest, 12%), usumbufu na gharama nilizoingia niligundua ilikuwa bora zaidi kuchukua mkopo wa riba inayoonekana kubwa (21%) tuliokubaliana awali na crdb.

Kama siyo mvumilivu unaishia kupata ugonjwa wa presha.

Naelewa kwa nini Mbowe hotels wanazungushana na nssf.Kuna sehemu Mbowe amesema anachotafuta ni haki yake na anawasisi na utaalamu wa nssf katika masuala ya handling ya loans.

Sasa nssf kusema hata wao hawajui wanamdai kiasi gani mdeni wao hiyo ina maana gani!!??

Tunahitaji mageuzi makubwa sana kwenye vyombo vya fedha.

Otherwise ni uonevu kwenda mbele.

Mfwatiliaji,

Bahati nzuri au mbaya nina experience mbaya sana na mambo ya mikopo ya TZ.
Sisi wengine tumeamua kwenye maisha kufa na vitanzi vyetu kwahiyo huwa tunapata kila aina ya usumbufu kwenye hayo mabanki.

Kwa TZ mikopo ni tatizo kubwa sana, ndio maana ni muhimu kwa wanasiasa kulijua hili ili walipigie kelele kadri wawezavyo. Bahati mbaya wao wanapata mikopo NSSF na wengine kuchota BOT.

Kama alivyoandika bibi Kizee, ni muhimu mno kutokuingia kwenye mkataba ambao unajua tu utashindwa kuutekeleza. Ni bora ukose pesa kuliko kufanya hivyo.

Kama Tanzania tunataka kuendelea, lazima tushughulikie hili suala la mikopo bank. Bila ya mikopo kupatikana hatuweza kuwa na wajasiriamali wapya ambao watasaidia kuendeleza uchumi na kutengeneza ajira. Tatizo kubwa wanasiasa wengi hata hawaelewi kwamba kupatikana mikopo TZ ni shida.
 
Mtikila sio mwanasiasa na wala hawezi kuchaguliwa nafasi ya juu kwenye siasa. Kitu ninachomepnda mimi Mtikila ni consistency. Yeye kuna mambo anayachukia na atayasema hata kama yatamnyima kura.

I wish tungelikuwa na watu wengi kama Mtikila. Sikubaliani naye katika mengi aliyoyasema, lakini pia najua amekuwa akisema hivyo miaka na miaka hata kama maneno hayo yanamfanya akose kura za baadhi ya watu.

Mtikila sio mnafiki.
 
Mikopo bongo???
Its just one of those sad stories. Wengi hatukujua kama NSSF wanakopesha, then unasikia flani kakopeshwa na NSSF. Worse enough unasikia kwamba hata wanayemdai hawajui wanamdai kiasi gani.
 
Sasa aende kulipa bei gani wakati NSSF hawataki kusema wanamdai bei gani? Hebu semeni jamani. Mbowe anadaiwa bei gani na NSSF? Akalipe zipi? Kwa nini NSSF haitaki kukutana kwa majadiliano wala haisemi inamdai bei gani?

Asha

Asha

Mbowe anadaiwa na siasa za bongo.
 
Mtikila sio mwanasiasa na wala hawezi kuchaguliwa nafasi ya juu kwenye siasa. Kitu ninachomepnda mimi Mtikila ni consistency. Yeye kuna mambo anayachukia na atayasema hata kama yatamnyima kura.

I wish tungelikuwa na watu wengi kama Mtikila. Sikubaliani naye katika mengi aliyoyasema, lakini pia najua amekuwa akisema hivyo miaka na miaka hata kama maneno hayo yanamfanya akose kura za baadhi ya watu.

Mtikila sio mnafiki.

Watu wengi aina ya Mtikila ? Mpo wengi maana na wewe huna unafiki ikifikia swala la Tanzania na Mimi .Tofauti ni kwamba mimi siwezi hata kusogelewa kwamba Lunyungu vuta kaa kimya ila yeye Es anasema ana tabia ya kuvuta na kusema hovyo I cannot verify uvutaji wake wa mchone ila ES anaonekena kujua mengi behind the scene .
 
Lunyungu,

Una maana ES anaweza kuwa fisadi in making? kwi kwi kwi!!!! Ukishinda na hao waheshimiwa wanakuambukiza. Inabidi kuwaogopa kama ukoma, kama alivyowahi kusema Nyerere.

Nampenda ES juu ya kitu kimoja, ukiwa mshikaji wake hawezi kukusaliti, kwa raha, kwa shida, atakutetea tu. Ni watu wachache sana ambao wanaheshimu urafiki kwa kiasi hicho. Wengi wetu tunafuata maslahi tu kama huyo mwandishe anayesemwa (Balile, kama sijakosea jina).

Ila Lunyungu na wewe hatukuwezi, mara uko UK, mara Musoma, mara Sumbawanga nk. Pesa za kutanua hivyo unazitoa wapi? Itabidi tumtume jasusi wa JF akuchunguze na kuona nini kinaendelea. Isije ikawa ndio mnaotuibia BOT kwi kwi kwi!!!!
 
Mkuu Mtanzania mie ni Mjasirimali .Najikunja sana kupata nauli .Niko Comoro sasa na mimi sina bei na wakijaribu kunioa chochote utanisikia naunguruma .Es kweli mie namvulia kofia ama imani kali na hasa akikupenda basi atakufa kwa ajii yako kama wale wafia dini wa Uganda akina Kizito .Lakini sasa hapo mie huwa nashangaa utaifa wake huwa unaenda wapi anapo msimamia kwa nguvu za mfia dini mshikaji wake ama mtu wake wa karibu .

Issue si ES hapa ni Mtikila .Es anajua jinsi Mkikila anavyo lamba dume gizani na kuja in public na kuanza kuboyongoka .
 
Watu wengi aina ya Mtikila ? Mpo wengi maana na wewe huna unafiki ikifikia swala la Tanzania na Mimi .Tofauti ni kwamba mimi siwezi hata kusogelewa kwamba Lunyungu vuta kaa kimya ila yeye Es anasema ana tabia ya kuvuta na kusema hovyo I cannot verify uvutaji wake wa mchone ila ES anaonekena kujua mengi behind the scene .

Jamani Mbowe alipe deni ,mambo ya kufuja pesa za walala hoi NO.

Mimi nakubalia kabisa na Mtikila kuna kila harufu ya UFISADI ktk hilo .
Mtu unapokopa si hua kuna makubaliano jinsi ya kurudisha hizo pesa kila pande inakaa na kupi ya makubaliano.Mfano utalipa deni hilo kwa mda gani na utalipa kiasi fulani kila kipindi fulani .Ama utalipa riba itaongezeka kulingana na jinsi unavyozidi kaa na pesa.
Sasa ukiona hawa jamaa hawaelewani jinsi ya malipo ujue makubaliano hayo yalikua ya Kifisadi .Hizo milioni 15 kazikopa karibu miaka 20 iliyopita .DUUUUUUU
 
Mkuu Mtanzania mie ni Mjasirimali .Najikunja sana kupata nauli .Niko Comoro sasa na mimi sina bei na wakijaribu kunioa chochote utanisikia naunguruma .Es kweli mie namvulia kofia ama imani kali na hasa akikupenda basi atakufa kwa ajii yako kama wale wafia dini wa Uganda akina Kizito .Lakini sasa hapo mie huwa nashangaa utaifa wake huwa unaenda wapi anapo msimamia kwa nguvu za mfia dini mshikaji wake ama mtu wake wa karibu .
Issue si ES hapa ni Mtikila .Es anajua jinsi Mkikila anavyo lamba dume gizani na kuja in public na kuanza kuboyongoka .

Mkuu Lunyungu, tuhabarishe hali ya kaka na dada zetu huko Comoro (TPDF)hivi ni kutekeleza matakwa ya AU ama mission immpossible za amiri jeshi mkuu wetu?
 
" Na asiye fisadi awe wa kwanza kurusha jiwe! "

Hii ishu ya mafisadi imekuwa "jino kwa jino" tuangalie tusije kujikuta wote tumekuwa vibogoyo! ukiangalia sana mfumo wa maisha ya wa-Bongo, kila mtu ana ka-skandali fulani ka ufisadi na unapojaribu kuingia kwenye siasa; hasa zama hizi za uhuru wa habari, uwe tayari kuwaeleza watanzania pale yatakapoanikwa hadharani.
 
Kakalende I side with you lakini kuna issues za kusema na spinning inakuja kwa watu kutaka kujinusuru ndiyo hilo tu .Watanzania we need to be smart and not to be taken by storm .Hili tu na tusimamie hoja .
 
Nikiangalia mada nzima naona kama Mtikila kuna mahala amesimamia. Mtikila siyo mtu wa solution anataka kuua soo fulani.

Kama Mchungaji yeye ni swafi haswa kwa nini chama chake kisisimame na watanzania tukakifuata?

kama mambo yenyewe ndo haya, Kuna hatari Tanzania isiendelee milele.

Itaendelea vipi na MBOWE akikopa halipi? tukikomaa anatetewa na wasomi kama Kitila Mkumbo kuwa deni lenyewe ni dogo tu, hamuoni watu wanachomwa moto kwa kuiba elfu kumi?
sawa Mtikila juzi walisema Kyara anatumiwa na mtikila anatumiwa na Mbowe?
 
Back
Top Bottom