KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 92
kada achana nae huyu pimbi.
nimemuuliza mkutano wa kwanza wa Chadema ulifanyika wapi Dar? hajui, mimi nitamwambia nani alizungumza na MTEI hotuba yake ilisema nini haijui, alikuja na na gari gani, jukwaa lilikuwa wapi?
Mwanakijiji nataka kukuthibitishia naijua vyema Chadema kuliko wewe.muulize hayo Maswali MBOWE NAJUA WEWE na kitila hamjui chochote.
nakupa kidogo tu.Jukwaa la Chadema lilikuwa upande wa kaskazini karibu ya barabara ya mkunguni na lumumba mnazi mmoja. hili nakupa kukuonesha kuwa wewe umepanda gari usilolijua. muulize Mbowe atakwambia Chinga anasema UKWELI.
ukitaka nitakupa na hotuba yote ya mzee Mtei.mkutano ulitawaliwa na wachagga wauza mabaa wengi ulikuwa kama wa kikabila ni sawa na Kilimanjaro development Association. wewe endelea kumlinda Mbowe kwenye viti maalum wanapewa wachagga tu.
WAFUASI TU HAWA, WANASHIKISHWA KITU WASICHOKIJUA !
"NJE NDANI STYLE HIYO"..WATU SIO KWAMBA WANAIPONDA CHADEMA, BALI WANAIJUA NJE NDANI NA NINI NIA YAO".