Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mi najua wakati wa Magufuli alipitia wakati mgumu sana. Na Mama akaamua kwanza kumuonesha action kidogo. Jamaa akatepeta. Ni binadamu. Umri umeenda na ameshachoka. So akatepeta.
Wananchi wameona, wanaona. Mbowe wa jana siyo Mbowe wa leo ....ona, ona, ni kweli alipata maumivu. Wananchi, wana CHADEMA wengi walala hoi; wanaona jamaa ameshaungana na Zitto kwenye praise and worship.
Mbowe sasa amebaki kutupia mawe kivuli cha shetani, halafu anakaa pembeni na shetani anampa pole. Kisha anarudi tena nje anatupia mawe kivuli cha shetwain.
Mbowe angempisha Tundu Lissu kwenye Uenyekiti yeye abaki kuwa mshauri tu apumzike ale maisha. Ame toil sana sasa ni wakati wa ku enjoy life.