Mbowe ajiuzulu nafasi ya Uenyekiti. Wana CHADEMA wengi hawana imani naye

Mbowe ajiuzulu nafasi ya Uenyekiti. Wana CHADEMA wengi hawana imani naye

Mi najua wakati wa Magufuli alipitia wakati mgumu sana. Na mama akaamua kwanza kumuonesha action kidogo. Jamaa akatepeta. Ni binadamu. Umri umeenda na ameshachoka. So akatepeta

Wananchi wameona...wanaona. mbowe wa jana siyo mbowe wa leo .....ona , ona. ni kweli alipata maumivu.


Wananchi, wanachadema wengi walala hoi wanaona jamaa ameshaungana na Zitto. Kwenye praise and worship. Mbowe sasa amebaki kutupia mawe kivuli cha shetani... Halafu anakaa pembeni na shetani anampa pole..

Kisha anarudi tena nje anatupia mawe kivuli cha shetwain.... Mbowe angempisha Tundu Lissu kwenye Uenyekiti yeye abaki kuwa mshauri tu apumzike ale maisha. Ame toil sana sasa ni wakati wa ku enjoy life
Utafika ushauri bila shaka ndugu mshauri wa kujitolea wa chama.
 
Suala la Mbowe kuondoka mbona alishasema itakuwa this year? sijui kwanini bado mna pressure!.

Its just a matter of time!.
 
Chadema inawatesa sana. Mbowe is there to stay whether you like it or not
Wakati huyo msaliti anarudi kugombea urais mwaka 2020 na akazunguka nchi nzima na kufanya mikutano hadi usiku alihakikishiwa na nani usalama?

Huyu mke wa Amsterdam anadeka sana alafu muoga tu.
 
Mi najua wakati wa Magufuli alipitia wakati mgumu sana. Na Mama akaamua kwanza kumuonesha action kidogo. Jamaa akatepeta. Ni binadamu. Umri umeenda na ameshachoka. So akatepeta.

Wananchi wameona, wanaona. Mbowe wa jana siyo Mbowe wa leo ....ona, ona, ni kweli alipata maumivu. Wananchi, wana CHADEMA wengi walala hoi; wanaona jamaa ameshaungana na Zitto kwenye praise and worship.

Mbowe sasa amebaki kutupia mawe kivuli cha shetani, halafu anakaa pembeni na shetani anampa pole. Kisha anarudi tena nje anatupia mawe kivuli cha shetwain.

Mbowe angempisha Tundu Lissu kwenye Uenyekiti yeye abaki kuwa mshauri tu apumzike ale maisha. Ame toil sana sasa ni wakati wa ku enjoy life.
Lisu nae ni walewale ooh maisha yangu,kiinua mgongo changu mara matibabu yangu na blaa blaa kama hizo..

Kutegemea Wanasiasa wakuletee mabadiliko ni kupoteana,muda ndio utaamua vinginevyo utaumia bure
 
Back
Top Bottom