Mbowe ajiuzulu nafasi ya Uenyekiti. Wana CHADEMA wengi hawana imani naye

Utafika ushauri bila shaka ndugu mshauri wa kujitolea wa chama.
 
Suala la Mbowe kuondoka mbona alishasema itakuwa this year? sijui kwanini bado mna pressure!.

Its just a matter of time!.
 
Chadema inawatesa sana. Mbowe is there to stay whether you like it or not
Wakati huyo msaliti anarudi kugombea urais mwaka 2020 na akazunguka nchi nzima na kufanya mikutano hadi usiku alihakikishiwa na nani usalama?

Huyu mke wa Amsterdam anadeka sana alafu muoga tu.
 
Lisu nae ni walewale ooh maisha yangu,kiinua mgongo changu mara matibabu yangu na blaa blaa kama hizo..

Kutegemea Wanasiasa wakuletee mabadiliko ni kupoteana,muda ndio utaamua vinginevyo utaumia bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…