Mbowe akataliwa Dar es Salaam! CHADEMA imekufa rasmi....

Mbowe anazidi kunenepa komandoo wake anazidi kupungua/ kukonda. Kwa mujibu wa picha.
 

Yaani mtu hai akatubu kwa mtu mfu???
 
Kimsingi mwandishi wa huu uzi ni maiti inayotembea.
 
Mwanasiasa yeyote - wa upinzani au CCM - atakayeenda kinyume na Magufuli na Umagufuli hawezi kupata uungwaji mkono wa wananchi. Sad but true truth.
Inabidi aanzishe kundi la watu wasiojulikana ili aendane na umagufuli.
 
mwenyekiti mwanae huyo wann au kulikua na shughuli yakifamilia au ndo join the chain maeneo ya mikocheni

mwanae kushoto huyo wann tena kwenyekazi za chama

Mkuu hushangai Mwinyi na Ridhiwani unamshangaa Mbowe na mtoto wake?!
 
Mbowe anazidi kunenepa komandoo wake anazidi kupungua/ kukonda. Kwa mujibu wa picha.

Mbowe ni mzee hivyo ni sahihi kunenepa. Kijana tena komandoo kunenepa ni fedheha.
 
Hizi propaganda zako,pereka kwa Putin,kama watu walijazana mahakamani wakati yupo jera,sembuse sasa hv yupo nje?
 
Mbowe haamini misukule kana nyinyi mbavyoamini. Nakushauri kakojie kwenye hilo kaburi utakuwa umejijengea heshima
 
Wakuu naanza kuamini pale watu wakianza kukutengeneza mchongo(propaganda) za uhasama na kejeli au..

Propaganda za Yule bwana wa matusi matusi na kejeli, unaweza sahau mustakhabali wa Nchi na kujiingiza kwenye uhasam bila kujua hatma yake.

Usisahau upinzani ulizimwa, na hivyo kupeleka wananchi kuanza kusahau pia.
Mh. Mbowe atarudi tu ulingoni, vyama vya siasa vitarudi ulingoni na ushiriki wa watu utarudi ulingoni. Nafikiri ni mapema sana tena sana kuona mkusanyiko wa watu ndio kiashiria cha tamati ya CHADEMA.

Chama cha CHADEMA bado kina nguvu hata kunyoa 'nyele' za CCM kama sio kufwagilia mbali nywele zao.
Ameshatubu.
 
aliyesema chadema itakufa kabla ya 2020 kafa yeye na kasahulika nyangau wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…