Mbowe akili kubwa! Kajua kutuchezesha Taifa na CCM muziki wake

MAKANGEMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2020
Posts
2,670
Reaction score
7,655
Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA.

Ni dhahiri shairi mpango ulikuwa akae kando aingie Lissu ila kwa namna gani?Unadhani Lissu angegombea na Odero ingekuwa story kubwa nchi hii au kuna ambaye angejisumbua kukesha anafuatilia uchaguzi?

Ndio maana alikuwa akitoa hotuba anasema kwa kujiamini CHADEMA itakuwa imara zaidi ya Jana na tutavuka salama.

Unganisha dots bato la wenje na lema halafu mara unasikia ntobi anasema lema asionekane ukumbini ghafla lema anaonekana ukumbini kama wakala wa lissu unadhani imetokea bahati mbaya au MMM kukaa kimya bila kumtukana Lissu

Ila machawa wa Mbowe MMM, Ntobi, Boniyai na Yeriko wamebaki uchi,ingawaje waliact hivyo ili kunogesha igizo.

20250122_083657.jpg
 
Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA.

Ni dhahiri shairi mpango ulikuwa akae kando aingie Lissu ila kwa namna gani??unadhani Lissu angegombea na Odero ingekuwa story kubwa nchi hii au kuna ambaye angejisumbua kukesha anafatilia uchaguzi??

Ndio maana alikuwa akitoa hotuba anasema kwa kujiamiin CHADEMA itakuwa imara zaidi ya Jana na tutavuka salama.

Ila machawa wa Mbowe MMM,Ntobi,Boniyai na Yeriko wamebaki uchi.
Screenshot_20250122_082858.jpg
 
Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA.

Ni dhahiri shairi mpango ulikuwa akae kando aingie Lissu ila kwa namna gani??unadhani Lissu angegombea na Odero ingekuwa story kubwa nchi hii au kuna ambaye angejisumbua kukesha anafuatilia uchaguzi?

Ndio maana alikuwa akitoa hotuba anasema kwa kujiamiin CHADEMA itakuwa imara zaidi ya Jana na tutavuka salama.

Ila machawa wa Mbowe MMM, Ntobi, Boniyai na Yeriko wamebaki uchi.
Chadema imejipambanua vizuri sanaaaaana!
 
Mbowe ni akili kubwa.
 
IMG-20250122-WA0015.jpg
 
Back
Top Bottom