Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Mshindwaji anafurahia matokeo kuliko mshindaji. Hii haiitaji akili kubwa kujuaAsingezunguka kwenye media kujitetea vile. Kubali tu kwamba Ameshindwa. Asali aliyoiramba imemgharimu. Hana jinsi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshindwaji anafurahia matokeo kuliko mshindaji. Hii haiitaji akili kubwa kujuaAsingezunguka kwenye media kujitetea vile. Kubali tu kwamba Ameshindwa. Asali aliyoiramba imemgharimu. Hana jinsi.
😂 😂 😂 😂 😂 Eti wanataka kutuaminisha kwamba ilikuwa ni igizo tu.Afadhali akili zenu zinaanza kuwarudia japo kwa njia hii ya kinafiki...
Maana yangu ni kuwa, usifikiri watu ni wajinga. Wanaelewa kila kitu....
Hii kitu haikuwa kama unavyofikiri. Huu ulikuwa ni mpambano halisi wala sio sanaa ya maigizo...
Isingekuwa Tundu Lissu kuwa na spirit ya kupambana, angegaragazwa na pesa za CCM/Samia mapema. Uovu ungeshinda...!
Freeman Mbowe alikuwa very serious na hakuwa na dhana hii unayoijenga hapa...
Ilikuwa ni rahisi tu kuelewa motive ya Freeman Mbowe kupitia mwenendo na kauli zake yeye binafsi pamoja na za wapambe wake huku akipata back up kubwa toka kwa CCM...
HAKUWA ANAMTAKA TUNDU LISSU. TENA ANGESHINDA ALIKUWA ANAANZISHA MKAKATI WA KUM - FRUSTRATE ILI AONDOKE CHADEMA NA KWA KUWA TUNDU LISSU NI MTU ASIYEKUBALI KUSHINDWA KWA MIZENGWE, LINGESUKWA ZENGWE LA KUFUTWA UANACHAMA...
Kumbuka kuwa, tunajua nyuma ya Freeman Mbowe, kulikuwa na backup kubwa ya fedha haramu za Abdul na mama yake Rais Samia Suluhu Hassan na CCM...
Na ukitaja Rais Samia tu unaelewa moja kwa moja kuna uhusika wa dola: Polisi, TISS, nk
Kwa hiyo tukubali tu kuwa HAKI/NURU IMESHINDA na DHULUMA/GIZA/UOVU umeshindwa..
MUNGU WA MBINGUNI alisikia na amejibu maombi ya watu wake...
Jina la Mungu Jehovah - Yesu Kristo Bwana na mwokozi wetu na ulimwengu wote LITUKUZWE sasa na hata milele yote. AMINA🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Kwamba ulitaka Mbowe anune hadharani?Mshindwaji anafurahia matokeo kuliko mshindaji. Hii haiitaji akili kubwa kujua
Kwa vile wamepewa rungu Utulivu utakuja tu hakuna namna ila awarudishe covid 19 na wengine Chama kianze upya.Mbowe amefanya vizuri na ila tuwaombee waliopata hiyo nafasi,wengi hawana utulivu wa kufikiri kama Mbowe
Huyu jamaa sijui kama anaweza kurudi KIMBIJI salama, apewe ulinzi tafadhari.
Ulinzi au escort? Tena ambulance maana mtu anaweza PATA heart attack.Huyu jamaa sijui kama anaweza kurudi KIMBIJI salama, apewe ulinzi tafadhari.
Mbowe kazuia mpasuko wa chama kwa hekima kubwa. Ametukanwa kwenye mitandao lakini yeye kawa mtulivu. Alikuwa na uwezo wz kuvuruga uchaguzi lakini akaamua Demokrasia ichukuwe nafasi. Hili ndilo tulilishauri. Hongera Mbowe, Hongera Lisu, Hongera CHADEMA.Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA.
Ni dhahiri shairi mpango ulikuwa akae kando aingie Lissu ila kwa namna gani?Unadhani Lissu angegombea na Odero ingekuwa story kubwa nchi hii au kuna ambaye angejisumbua kukesha anafuatilia uchaguzi?
Ndio maana alikuwa akitoa hotuba anasema kwa kujiamini CHADEMA itakuwa imara zaidi ya Jana na tutavuka salama.
Ila machawa wa Mbowe MMM, Ntobi, Boniyai na Yeriko wamebaki uchi.
View attachment 3209699
Kwa upepo ule kura nyingi alikuwa anatoa wapi?Hakuna kukubaliana wala nn team mbowe kubalini mmeshindwa,mnasema kukubaliana na kula zimepigwa na kuhesabiwa kwa uwaz what if nmbowe angepata kula nyingi??
Kumshirikisha Mungu kwa mambo husiyokuwa na ushahidi nayo ni dhambiAfadhali akili zenu zinaanza kuwarudia japo kwa njia hii ya kinafiki...
Maana yangu ni kuwa, usifikiri watu ni wajinga. Wanaelewa kila kitu....
Hii kitu haikuwa kama unavyofikiri. Huu ulikuwa ni mpambano halisi wala sio sanaa ya maigizo...
Isingekuwa Tundu Lissu kuwa na spirit ya kupambana, angegaragazwa na pesa za CCM/Samia mapema. Uovu ungeshinda...!
Freeman Mbowe alikuwa very serious na hakuwa na dhana hii unayoijenga hapa...
Ilikuwa ni rahisi tu kuelewa motive ya Freeman Mbowe kupitia mwenendo na kauli zake yeye binafsi pamoja na za wapambe wake huku akipata back up kubwa toka kwa CCM...
HAKUWA ANAMTAKA TUNDU LISSU. TENA ANGESHINDA ALIKUWA ANAANZISHA MKAKATI WA KUM - FRUSTRATE ILI AONDOKE CHADEMA NA KWA KUWA TUNDU LISSU NI MTU ASIYEKUBALI KUSHINDWA KWA MIZENGWE, LINGESUKWA ZENGWE LA KUFUTWA UANACHAMA...
Kumbuka kuwa, tunajua nyuma ya Freeman Mbowe, kulikuwa na backup kubwa ya fedha haramu za Abdul na mama yake Rais Samia Suluhu Hassan na CCM...
Na ukitaja Rais Samia tu unaelewa moja kwa moja kuna uhusika wa dola: Polisi, TISS, nk
Kwa hiyo tukubali tu kuwa HAKI/NURU IMESHINDA na DHULUMA/GIZA/UOVU umeshindwa..
MUNGU WA MBINGUNI alisikia na amejibu maombi ya watu wake...
Jina la Mungu Jehovah - Yesu Kristo Bwana na mwokozi wetu na ulimwengu wote LITUKUZWE sasa na hata milele yote. AMINA🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mkosi kwa FAM ulianzia hapa, nuru haikai na gizaHuyu jamaa sijui kama anaweza kurudi KIMBIJI salama, apewe ulinzi tafadhari.
Kula? hapana nakataaHakuna kukubaliana wala nn team mbowe kubalini mmeshindwa,mnasema kukubaliana na kula zimepigwa na kuhesabiwa kwa uwaz what if nmbowe angepata kula nyingi??
Nakubaliana na wewe,kama asingechukua fomu uchaguzi usingekuwa na attention yoyote, ila wamejua kuitikisa nchiHuu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA.