Mbowe akili kubwa! Kajua kutuchezesha Taifa na CCM muziki wake

Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA.

Ni dhahiri shairi mpango ulikuwa akae kando aingie Lissu ila kwa namna gani??unadhani Lissu angegombea na Odero ingekuwa story kubwa nchi hii au kuna ambaye angejisumbua kukesha anafuatilia uchaguzi?

Ndio maana alikuwa akitoa hotuba anasema kwa kujiamiin CHADEMA itakuwa imara zaidi ya Jana na tutavuka salama.

Ila machawa wa Mbowe MMM, Ntobi, Boniyai na Yeriko wamebaki uchi.
Well said Mkuu!
Ni kweli kabisa kwa mpango huu wamefanikiwa kuteka fikra na mioyo ya watu.

Hili Sasa Linafanya watanzania wengi kufatilia na kutaka kujua kila hatua ya TL kama mwenyekiti!

Imefunika story zoteeeeee za CCM

Yericko Nyerere akalime bamia!

What if it was planned pia Hawa wapambe wawepo ili kuongeza joto?
 
Mnataka kubadili gia angani eee?Mbowe kashindwa kwenye sanduku la kura
 
Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA.

Ni dhahiri shairi mpango ulikuwa akae kando aingie Lissu ila kwa namna gani??unadhani Lissu angegombea na Odero ingekuwa story kubwa nchi hii au kuna ambaye angejisumbua kukesha anafuatilia uchaguzi?

Ndio maana alikuwa akitoa hotuba anasema kwa kujiamiin CHADEMA itakuwa imara zaidi ya Jana na tutavuka salama.

Ila machawa wa Mbowe MMM, Ntobi, Boniyai na Yeriko wamebaki uchi.
Afadhali akili zenu zinaanza kuwarudia japo kwa njia hii ya kinafiki...

Maana yangu ni kuwa, usifikiri watu ni wajinga. Wanaelewa kila kitu....

Hii kitu haikuwa kama unavyofikiri. Huu ulikuwa ni mpambano halisi wala sio sanaa ya maigizo...

Isingekuwa Tundu Lissu kuwa na spirit ya kupambana, angegaragazwa na pesa za CCM/Samia mapema. Uovu ungeshinda...!

Freeman Mbowe alikuwa very serious na hakuwa na dhana hii unayoijenga hapa...

Ilikuwa ni rahisi tu kuelewa motive ya Freeman Mbowe kupitia mwenendo na kauli zake yeye binafsi pamoja na za wapambe wake huku akipata back up kubwa toka kwa CCM...

HAKUWA ANAMTAKA TUNDU LISSU. TENA ANGESHINDA ALIKUWA ANAANZISHA MKAKATI WA KUM - FRUSTRATE ILI AONDOKE CHADEMA NA KWA KUWA TUNDU LISSU NI MTU ASIYEKUBALI KUSHINDWA KWA MIZENGWE, LINGESUKWA ZENGWE LA KUFUTWA UANACHAMA...

Kumbuka kuwa, tunajua nyuma ya Freeman Mbowe, kulikuwa na backup kubwa ya fedha haramu za Abdul na mama yake Rais Samia Suluhu Hassan na CCM...

Na ukitaja Rais Samia tu unaelewa moja kwa moja kuna uhusika wa dola: Polisi, TISS, nk

Kwa hiyo tukubali tu kuwa HAKI/NURU IMESHINDA na DHULUMA/GIZA/UOVU umeshindwa..

MUNGU WA MBINGUNI alisikia na amejibu maombi ya watu wake...

Jina la Mungu Jehovah - Yesu Kristo Bwana na mwokozi wetu na ulimwengu wote LITUKUZWE sasa na hata milele yote. AMINA🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA.

Ni dhahiri shairi mpango ulikuwa akae kando aingie Lissu ila kwa namna gani?Unadhani Lissu angegombea na Odero ingekuwa story kubwa nchi hii au kuna ambaye angejisumbua kukesha anafuatilia uchaguzi?

Ndio maana alikuwa akitoa hotuba anasema kwa kujiamini CHADEMA itakuwa imara zaidi ya Jana na tutavuka salama.

View attachment 3209699
Mipango ilisukwa ikakaa sawa ili chama kipate mileages! Usiwalalumu hata wale kina Ntobi na Yericko. Wote ni sehemu ya mipango. Sema Wenje ndo sijamuelewa kabisa!
 
Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA.

Ni dhahiri shairi mpango ulikuwa akae kando aingie Lissu ila kwa namna gani?Unadhani Lissu angegombea na Odero ingekuwa story kubwa nchi hii au kuna ambaye angejisumbua kukesha anafuatilia uchaguzi?

Ndio maana alikuwa akitoa hotuba anasema kwa kujiamini CHADEMA itakuwa imara zaidi ya Jana na tutavuka salama.

Ila machawa wa Mbowe MMM, Ntobi, Boniyai na Yeriko wamebaki uchi.

View attachment 3209699
Ila Boniyai sio chawa mkuu. Amejikuta tu yupo upande ule.
 
Acheni kuelezaa mambo ya ajabu , kwamba wajumbe wangepiga kura zikatosha kwa Mbowe ,angeachia kijiti?

Kashindwa kama hakua na mpango why kuingia na miguu 2 kwenye uchaguzi, mnajipoza kisa mpepigwa, why campaign zote zile ,
 
ccm needs to come on a drawing table again .. drafting a things to counteract this

ccm were busy doing dramas on saturday and friday but this is a new counterfeit

anyway mbowe drafted all this and congrats to him its different from what people sees chadema is widely and more talked right now than how it was talked about in 2010

and ccm they have given lissu such an easy opponent maybe we may see much colours from march

its getting busy on white house

anyway we should not be much excited , maybe kijana is also a part of system well trained one than others than zitto than mbowe and he will keep ccm on check lots of black noises syste have
 
Afadhali akili zenu zinaanza kuwarudia japo kwa njia hii ya kinafiki...

Maana yangu ni kuwa, usifikiri watu ni wajinga. Wanaelewa kila kitu....

Hii kitu haikuwa kama unavyofikiri. Huu ulikuwa ni mpambano halisi wala sio sanaa ya maigizo...

Isingekuwa Tundu Lissu kuwa na spirit ya kupambana, angegaragazwa na pesa za CCM/Samia mapema. Uovu ungeshinda...!

Freeman Mbowe alikuwa very serious na hakuwa na dhana hii unayoijenga hapa...

Ilikuwa ni rahisi tu kuelewa motive ya Freeman Mbowe kupitia mwenendo na kauli zake yeye binafsi pamoja na za wapambe wake huku akipata back up kubwa toka kwa CCM...

HAKUWA ANAMTAKA TUNDU LISSU. TENA ANGESHINDA ALIKUWA ANAANZISHA MKAKATI WA KUM - FRUSTRATE ILI AONDOKE CHADEMA NA KWA KUWA TUNDU LISSU NI MTU ASIYEKUBALI KUSHINDWA KWA MIZENGWE, LINGESUKWA ZENGWE LA KUFUTWA UANACHAMA...

Kumbuka kuwa, tunajua nyuma ya Freeman Mbowe, kulikuwa na backup kubwa ya fedha haramu za Abdul na mama yake Rais Samia Suluhu Hassan na CCM...

Na ukitaja Rais Samia tu unaelewa moja kwa moja kuna uhusika wa dola: Polisi, TISS, nk

Kwa hiyo tukubali tu kuwa HAKI/NURU IMESHINDA na DHULUMA/GIZA/UOVU umeshindwa..

MUNGU WA MBINGUNI alisikia na amejibu maombi ya watu wake...

Jina la Mungu Jehovah - Yesu Kristo Bwana na mwokozi wetu na ulimwengu wote LITUKUZWE sasa na hata milele yote. AMINA🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mkuu unajua Mbowe alimfanya Nini mwendazake? Ilikuwa kipindi kama hiki, kama hujui basi omba ujulishwe.
 
Hakika mbowe ni genius. Kapiga mpunga wa nchimbi na.hangaya halafu did not meet.his.end of bargain.
sasa hivi ni mwendo wa kula rushwa tu laki maamuzi yanafanyika kama inavyotakiwa iwe, ni funzo kwa watoa rushwa
 
Back
Top Bottom