Mbowe akili kubwa! Kajua kutuchezesha Taifa na CCM muziki wake

Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA.

Ni dhahiri shairi mpango ulikuwa akae kando aingie Lissu ila kwa namna gani?Unadhani Lissu angegombea na Odero ingekuwa story kubwa nchi hii au kuna ambaye angejisumbua kukesha anafuatilia uchaguzi?

Ndio maana alikuwa akitoa hotuba anasema kwa kujiamini CHADEMA itakuwa imara zaidi ya Jana na tutavuka salama.

Ila machawa wa Mbowe MMM, Ntobi, Boniyai na Yeriko wamebaki uchi.

View attachment 3209699
Uongo!
 
Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA.

Ni dhahiri shairi mpango ulikuwa akae kando aingie Lissu ila kwa namna gani?Unadhani Lissu angegombea na Odero ingekuwa story kubwa nchi hii au kuna ambaye angejisumbua kukesha anafuatilia uchaguzi?

Ndio maana alikuwa akitoa hotuba anasema kwa kujiamini CHADEMA itakuwa imara zaidi ya Jana na tutavuka salama.

Unganisha dots bato la wenje na lema halafu mara unasikia ntobi anasema lema asionekane ukumbini ghafla lema anaonekana ukumbini kama wakala wa lissu unadhani imetokea bahati mbaya au MMM kukaa kimya bila kumtukana Lissu

Ila machawa wa Mbowe MMM, Ntobi, Boniyai na Yeriko wamebaki uchi,ingawaje waliact hivyo ili kunogesha igizo.

View attachment 3209699
Ukweli ni kuwa Mbowe hakuridhia kuachia kiti na alikitaka sana, hayo ya mikakati na mengineyo ni baada ya kushindwa ila nakuhakikishia hakudhani kuwa atashindwa.
Kwa taarifa yako ilipangwa baada ya ushindi wa Mbowe Lissu na team yake washughulikiwe
 
Haya maneno yako yangekuwa halali lakini sio kwama 52 % by 50% ( Mbowe wanted this )
 
Well said Mkuu!
Ni kweli kabisa kwa mpango huu wamefanikiwa kuteka fikra na mioyo ya watu.

Hili Sasa Linafanya watanzania wengi kufatilia na kutaka kujua kila hatua ya TL kama mwenyekiti!

Imefunika story zoteeeeee za CCM

Yericko Nyerere akalime bamia!

What if it was planned pia Hawa wapambe wawepo ili kuongeza joto?
Hata hawa mnaodhani ni machawa the scenario was staged(scripted) na nia ilikuwa ni kuweka attention na kwa hilo wamefanikiwa sana kwa licha ya CCM kukusanyia celebrities wote wa TZ mkutano wao haukufuatiliwa na umma wa Watanzania.
 
Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA.

Ni dhahiri shairi mpango ulikuwa akae kando aingie Lissu ila kwa namna gani?Unadhani Lissu angegombea na Odero ingekuwa story kubwa nchi hii au kuna ambaye angejisumbua kukesha anafuatilia uchaguzi?

Ndio maana alikuwa akitoa hotuba anasema kwa kujiamini CHADEMA itakuwa imara zaidi ya Jana na tutavuka salama.

Unganisha dots bato la wenje na lema halafu mara unasikia ntobi anasema lema asionekane ukumbini ghafla lema anaonekana ukumbini kama wakala wa lissu unadhani imetokea bahati mbaya au MMM kukaa kimya bila kumtukana Lissu

Ila machawa wa Mbowe MMM, Ntobi, Boniyai na Yeriko wamebaki uchi,ingawaje waliact hivyo ili kunogesha igizo.

View attachment 3209699
Yericko kaumizwa sana.

Yericko kapigwa za uso, wala haikuwa maigizo it was a real life phenomenon. Haiwezekani iwe maigizo halafu noti za kufa mtu zitumike. Ila ili kurudi chamani, itafanywa ilikuwa geresha kunogesha story.

Yericko kwa mara ya kwanza kapiga block sana watu insta na WhatsApp waliomwambia lolote kuhusu Mbowe kushindwa na Lisu kushinda. Just imagine anakuona adui kwa kusema Lisu anashinda
 
Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA.

Ni dhahiri shairi mpango ulikuwa akae kando aingie Lissu ila kwa namna gani?Unadhani Lissu angegombea na Odero ingekuwa story kubwa nchi hii au kuna ambaye angejisumbua kukesha anafuatilia uchaguzi?

Ndio maana alikuwa akitoa hotuba anasema kwa kujiamini CHADEMA itakuwa imara zaidi ya Jana na tutavuka salama.

Unganisha dots bato la wenje na lema halafu mara unasikia ntobi anasema lema asionekane ukumbini ghafla lema anaonekana ukumbini kama wakala wa lissu unadhani imetokea bahati mbaya au MMM kukaa kimya bila kumtukana Lissu

Ila machawa wa Mbowe MMM, Ntobi, Boniyai na Yeriko wamebaki uchi,ingawaje waliact hivyo ili kunogesha igizo.

View attachment 3209699
Yericko kaumizwa sana.
Kama Mbowe angejitoa mapema sidhani kama uchaguzi huu ungekuwa na attention kiasi hiki
hongera Lissu, hongera CHADEMA
MBOWE katumia hadi hela kushinda uchaguzi. Hajaanza leo, alihakikisha wenyeviti wasiompa nafasi hawachaguliwi. Lkn fitina zake zimeshindwa
 
Hata hawa mnaodhani ni machawa the scenario was staged(scripted) na nia ilikuwa ni kuweka attention na kwa hilo wamefanikiwa sana kwa licha ya CCM kukusanyia celebrities wote wa TZ mkutano wao haukufuatiliwa na umma wa Watanzania.
Nimekuelewa vizuri Mkuu
 
Ukweli ni kuwa Mbowe hakuridhia kuachia kiti na alikitaka sana, hayo ya mikakati na mengineyo ni baada ya kushindwa ila nakuhakikishia hakudhani kuwa atashindwa.
Kwa taarifa yako ilipangwa baada ya ushindi wa Mbowe Lissu na team yake washughulikiwe
Ukiweka ushahidi(hard facts) utaaminika lakini vinginevyo jinsi Mbowe alivyohangaika hicho chama usidhani kwamba hakuwa akifahamu realities on the ground kwamba hata kama atashinda kihalali mashabiki wao ambao mostly huwa ni vijana wanataka mtu hardcore ndiyo ashike usukani.
My thoughts are that the whole scenario was scripted kwani bila hivyo hakukuwa na namna nyingine ya kuufunika mkutano wa Dodoma wa CCM uliokuwa umejaa shows za A list ya vijana wa Bongo flavor.
 
Baada ya matokeo naona Mbowe hapigi makofi tena!
Hakika alikitaka kiti ila kiti hakijamtaka. Aibu hii angeweza kuiepuka kama angesikiliza ushauri wa tuliomtakia kheri.
 
Ukiweka ushahidi(hard facts) utaaminika lakini vinginevyo jinsi Mbowe alivyohangaika hicho chama usidhani kwamba hakuwa akifahamu realities on the ground kwamba hata kama atashinda kihalali mashabiki wao ambao mostly huwa ni vijana wanataka mtu hardcore ndiyo ashike usukani.
My thoughts are that the whole scenario was scripted kwani bila hivyo hakukuwa na namna nyingine ya kuufunika mkutano wa Dodoma wa CCM uliokuwa umejaa shows za A list ya vijana wa Bongo flavor.
Unaangalia tv? Umeona mapokeo ya freeman? Kwa akili ya kawaida Mbowe angetaka kuachia kiti asingekubali kuachia katika namna ya kudhalilisha kama hii. Alikitaka kiti ila kiti kimemkataa
 
Inawezekana na Mimi kumbe ni mchambuzi wa mambo ya siasa wa chini chini au mpiga ramli wa chini chini, au Mzee wa nje ya box. Hicho ulicho andika ndio nilikuwa na kihubiri kwenye vikao vya kahawa. Nikiamini Hawa wamekubariana walipuane ili kuleta attention ya chama, na kuonesha wao ni tofauti wako tayari kukubaria kuto kukubariana kufanya kazi Kwa maslahi ya chama na kuonesha ukomavu wa Hali ya juu . Kuelekea uchaguzi mkuu inabidi uimbwe sana kupata wapiga kura wanaoenda na upepo (Undecided voters). Airtime ya Chadema ilikuwa chini sana kwenye mijadala ya watu na vyombo vya Habari. Upande wa pili wamezimwa kabisa baada ya kujisifia Kwa kuwa na Mabus ya kijani hoja nyepesi kama Ile ya wewe unaijua vieiteee wewe.

Kwa namna yoyote hapa mahindi ni Mbowe, Kwa sababu hakuvunja katiba katika kuutaka tena uenyekiti, bado atabaki kuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa sana chamani labda Hawa wapya waaamue kuua chama Kwa kumsideline Mwamba. Kama CUF ilivyotekwa na team Znz.
Mbowe ni mjanja wa town, mind game anaijua sana. CCM wamekusanya wasanii wote muhimu wa Bongo flavor, Bongo movie na popular Chawa wote lakini media, social media na wananchi wa kawaida kwa wingi wake ufuatiliaji ulikuwa ni uchaguzi wa CHADEMA jambo ambalo probably limeibua hamasa wa wanachama na mashabiki wao upya.
 
Back
Top Bottom