Mbowe akili kubwa! Kajua kutuchezesha Taifa na CCM muziki wake

Uongo!
 
Ukweli ni kuwa Mbowe hakuridhia kuachia kiti na alikitaka sana, hayo ya mikakati na mengineyo ni baada ya kushindwa ila nakuhakikishia hakudhani kuwa atashindwa.
Kwa taarifa yako ilipangwa baada ya ushindi wa Mbowe Lissu na team yake washughulikiwe
 
Haya maneno yako yangekuwa halali lakini sio kwama 52 % by 50% ( Mbowe wanted this )
 
Hata hawa mnaodhani ni machawa the scenario was staged(scripted) na nia ilikuwa ni kuweka attention na kwa hilo wamefanikiwa sana kwa licha ya CCM kukusanyia celebrities wote wa TZ mkutano wao haukufuatiliwa na umma wa Watanzania.
 
Yericko kaumizwa sana.
Yericko kapigwa za uso, wala haikuwa maigizo it was a real life phenomenon. Haiwezekani iwe maigizo halafu noti za kufa mtu zitumike. Ila ili kurudi chamani, itafanywa ilikuwa geresha kunogesha story.

Yericko kwa mara ya kwanza kapiga block sana watu insta na WhatsApp waliomwambia lolote kuhusu Mbowe kushindwa na Lisu kushinda. Just imagine anakuona adui kwa kusema Lisu anashinda
 
Yericko kaumizwa sana.
Kama Mbowe angejitoa mapema sidhani kama uchaguzi huu ungekuwa na attention kiasi hiki
hongera Lissu, hongera CHADEMA
MBOWE katumia hadi hela kushinda uchaguzi. Hajaanza leo, alihakikisha wenyeviti wasiompa nafasi hawachaguliwi. Lkn fitina zake zimeshindwa
 
Hata hawa mnaodhani ni machawa the scenario was staged(scripted) na nia ilikuwa ni kuweka attention na kwa hilo wamefanikiwa sana kwa licha ya CCM kukusanyia celebrities wote wa TZ mkutano wao haukufuatiliwa na umma wa Watanzania.
Nimekuelewa vizuri Mkuu
 
Ukweli ni kuwa Mbowe hakuridhia kuachia kiti na alikitaka sana, hayo ya mikakati na mengineyo ni baada ya kushindwa ila nakuhakikishia hakudhani kuwa atashindwa.
Kwa taarifa yako ilipangwa baada ya ushindi wa Mbowe Lissu na team yake washughulikiwe
Ukiweka ushahidi(hard facts) utaaminika lakini vinginevyo jinsi Mbowe alivyohangaika hicho chama usidhani kwamba hakuwa akifahamu realities on the ground kwamba hata kama atashinda kihalali mashabiki wao ambao mostly huwa ni vijana wanataka mtu hardcore ndiyo ashike usukani.
My thoughts are that the whole scenario was scripted kwani bila hivyo hakukuwa na namna nyingine ya kuufunika mkutano wa Dodoma wa CCM uliokuwa umejaa shows za A list ya vijana wa Bongo flavor.
 
Baada ya matokeo naona Mbowe hapigi makofi tena!
Hakika alikitaka kiti ila kiti hakijamtaka. Aibu hii angeweza kuiepuka kama angesikiliza ushauri wa tuliomtakia kheri.
 
Unaangalia tv? Umeona mapokeo ya freeman? Kwa akili ya kawaida Mbowe angetaka kuachia kiti asingekubali kuachia katika namna ya kudhalilisha kama hii. Alikitaka kiti ila kiti kimemkataa
 
Mbowe ni mjanja wa town, mind game anaijua sana. CCM wamekusanya wasanii wote muhimu wa Bongo flavor, Bongo movie na popular Chawa wote lakini media, social media na wananchi wa kawaida kwa wingi wake ufuatiliaji ulikuwa ni uchaguzi wa CHADEMA jambo ambalo probably limeibua hamasa wa wanachama na mashabiki wao upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…