Mbowe Akishinda Uenyekiti kazi ya kwanza iwe ni Kumtimua Lissu Chamani ili asiendelee kukivuruga na kukigawa chama

Mbowe akishinda na kupa dem wangu
 
Pale inapotokea mpinzani wako anakupa ushauri wa nani umtimue kwenye Chama Chenu !
Inabidi ujiulize maswali mengi !
 
Wewe ni Lissu,Lissu,Lissu hadi unaonesha rangi zako zote.Acha hizo.
 
Sultani labda ashinde ccm chadema maji yashakuwa marefu
 
Siyo Lisu tu na genge lake
 
Mimi siyo chawa bali ni msema kweli.
Unajua maana ya chawa kwa wapiga mastori ya mjini?

Watu humu JF wakiambiwa wapige kura kuwa wewe una sifa gani kati ya hizi mbili;

1. Chawa
2. Siyo chawa

Unadhani Wana JF wenzako kwa asilimia kubwa watachagua namba ipi kati ya hizo mbili?
 
Mimi ni mzalendo na msema kweli .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…