Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Mwamba ameshapita na kushinda tayari katika mioyo ya wana CHADEMAWe jamaa ndo unazid kumuharibia mwenyekiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba ameshapita na kushinda tayari katika mioyo ya wana CHADEMAWe jamaa ndo unazid kumuharibia mwenyekiti
labda mioyo ya ccm na mama abdulMwamba ameshapita na kushinda tayari katika mioyo ya wana CHADEMA
Mimi ni mlipa kodi inayotumika kulipa Ruzuku ya CHADEMAwewe ni nani huku chadema hata uteseke hangaika na hilo liccm lako jumba bovu
huna hata TIN unategemea hisan ya mama abdulMimi ni mlipa kodi inayotumika kulipa Ruzuku ya CHADEMA
Naishi kwa jasho langu.huna hata TIN unategemea hisan ya mama abdul
Tanganyika yang u😭😭😭Duuuh, hizi ni rasilimali za chama au serikali??
Mnafiki mkubwa wewe. Tambua ya kuwa CCM inajiendesha kwa pesa zake na ina miradi kila kona ya Nchi hiyo.Tanganyika yang u😭😭😭
Mwashambwa mwaka usiishe ukiwa chawa. Mrudie muumba wako.Mimi siyo chawa bali ni msema kweli.
Mimi siyo chawa ndugu yangu mtanzaniaMwashambwa mwaka usiishe ukiwa chawa. Mrudie muumba wako.
Mbowe akishinda na kupa dem wanguNdugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la Siasa za Upinzani hapa Nchini akipita na kushinda uchaguzi hiyo tarehe 21 mwezi huu .ambapo anatarajiwa kushinda na kupita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.anapaswa kwa haraka sana na mara moja kumtimua Lissu chamani ili asiendelee kukivuruga chama na kukigawa.
Lissu anapaswa kufukuzwa haraka sana kwa sababu tayari ni kansa kwa CHADEMA ambayo ikiachwa ikae na kusalia itakitafuna na kukiangamiza kabisa chama. Lissu kwa sasa ni kama adui wa chama anayepaswa kupingwa na kuogopwa kama ukoma.
Kwa sasa hana uchungu na CHADEMA na amedhamiria kukiangamiza CHADEMA kwa hasira kubwa sana.hii unaweza kuona matamko na maneno yake anajiropokea kila uchao namna yanavyoendelea kuleta taharuki,mgawanyiko na kuondoa kabisa umoja wa chama.kila siku anafanya kazi ya kukidhalilisha chama na kukivunjia sifa kubwa kiliyojijengea kwa jasho na Damu kwa miaka mingi.
Ikumbukwe ya kuwa lissu ni wakuja CHADEMA.pegine ndio maana hajui gharama iliyotumika kuijenga na kuifikisha hapo ilipo CHADEMA.hii ndio sababu pengine hana uchungu na CHADEMA na ndio maana anaropoka muda wote Utafikiri ana matatizo kichwani mwake.Lissu ameikuta CHADEMA ikiwa imara na yenye mtandao mpana wa uongozi na wanachama maeneo mbalimbali Nchini.
Sasa anaivunja vunja na kuibomoa kwa kasi kubwa sana CHADEMA.anatoa kila aina ya maneno ya kukichafua chama na viongozi wasiomuunga mkono pasipo ushahidi wa aina yoyote ile. Ni lazima afukuzwe CHADEMA ili kama anataka basi akaanzishe chama chake ndiko atoleage matamko na Uropokaji wake.
Mbowe asikubali hata kidogo kumlea huyu mtu asiye na shukurani.amfukuze na kumtimua haraka sana ili kurejesha umoja na mshikamano ndani ya chama.ni lazima Mbowe afahamu ya kuwa Kansa ni kansa tu na ni lazima hatua za mapema zichukuliwe kuiwahi kansa . Kuendelea kuishi na kansa Mwilini bila kuchukua hatua za mapema kutapelekea kuenea na kuangamiza mwili na hatimaye roho.
Angalieni namna ambavyo sisi CCM hufanya maamuzi Magumu ndani ya chama chetu.CCM tunaweza kumuondoa mtu yeyote yule katika nafasi yoyote ile na kumuweka pembeni. CCM tunaweza kumfukuza chamani mtu yeyote yule akionekana kuwa ni kirusi au kansa kwa chama chetu.tumefanya hivyo mara nyingi na tutaendelea kufanya hivyo kila itakapobidi kufanya hivyo kwa maslahi mapana ya chama Na Taifa letu kwa ujumla wake.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe ni Lissu,Lissu,Lissu hadi unaonesha rangi zako zote.Acha hizo.Ndugu zangu Watanzania,

Sultani labda ashinde ccm chadema maji yashakuwa marefuNdugu zangu Watanzania,

Siyo Lisu tu na genge lakeNdugu zangu Watanzania,

Utasubiri sana🤣Mwamba ndiye mwenyekiti chaguo la wana CHADEMA
Unajua maana ya chawa kwa wapiga mastori ya mjini?Mimi siyo chawa bali ni msema kweli.
Ni lazima ashinde kwa kishindoo kikuuSultani labda ashinde ccm chadema maji yashakuwa marefu
Mimi ni mzalendo na msema kweli .Unajua maana ya chawa kwa wapiga mastori ya mjini?
Watu humu JF wakiambiwa wapige kura kuwa wewe una sifa gani kati ya hizi mbili;
1. Chawa
2. Siyo chawa
Unadhani Wana JF wenzako kwa asilimia kubwa watachagua namba ipi kati ya hizo mbili?