Mbowe Akishinda Uenyekiti kazi ya kwanza iwe ni Kumtimua Lissu Chamani ili asiendelee kukivuruga na kukigawa chama

Kazi nzuri ila mshiko wa Abdul na wewe unapata za kueleweka sio unapoteza muda wako wakati unachopewa ni kiduchu au hupewi kabsaaa
 
MBOWE atakuwa pumbavu namba moja kufuata ushauri wa adui Yake. Yaani ashauriwe na Lucas Mwashambwa lialia wa CCM halafu atiii!!!! Hili litaku watusi tusi kubwa sana kwa Mtakatifu MBOWE
 
Akili huna wewe, unafikiri kila mwanasiasa anaendekeza visasi kama huko kwenye chama chenu chakavu.

Nenda kafue kaoshi na soksi za Mwigulu akupe hata Hela ya kupandia boda boda uache kubanana kwenye mwendokasi.
 
Akili huna wewe, unafikiri kila mwanasiasa Huwa ni mtu WA kuendekeza visasi kama huko kwenye chama chenu chakavu.

Nenda kafue kaoshi na soksi za Mwigulu akupe hata Hela ya kupandia boda boda uache kubanana kwenye mwendokasi.
Lissu ni kansa na kirusi ambaye hapaswi na kustahili kubakia na kusalia CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…