Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Subiri uchaguzi ufike uone anavyopita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzimaUtasubiri sana🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri uchaguzi ufike uone anavyopita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzimaUtasubiri sana🤣
Embu acha kunidhalilisha kwa kunifananisha na watu wa Hovyo hovyoWewe ni Lissu,Lissu,Lissu hadi unaonesha rangi zako zote.Acha hizo.
Jibu swali. Kati ya chawa na siyo chawa, Wana JF kuhusu sifa yako Mahsusi unadhani watachua ipi?Mimi ni mzalendo na msema kweli .
Swali lako ni la kitoto lisilohitaji kujibiwa na mtu kama mimi.Jibu swali. Kati ya chawa na siyo chawa, Wana JF kuhusu sifa yako Mahsusi unadhani watachua ipi?
Ukweli ndio huo nimewapeni.Pale msukule wa CCM unapoongelea mambo ya CHADEMA.
Sasa wewe uliposema siyo chawa ulichangiaje hoja ya kitoto?Swali lako ni la kitoto lisilohitaji kujibiwa na mtu kama mimi.
Nenda kwa paroko wako utubu haraka, na uchawa wako uishie kwa maccm wenzako usilete pua kwny mambo ya maana.Mimi siyo chawa ndugu yangu mtanzania
Huyu ni chawa mwenye vyeti.Sasa wewe uliposema siyo chawa ulichangiaje hoja ya kitoto?
Unadhani Wana JF wanakuona wewe chawa au siyo chawa?
huyu ni Kupe kabisa, maana ang'ang'ania kila sehemu.Nenda kwa paroko wako utubu haraka, na uchawa wako uishie kwa maccm wenzako usilete pua kwny mambo ya maana.
Kazi nzuri ila mshiko wa Abdul na wewe unapata za kueleweka sio unapoteza muda wako wakati unachopewa ni kiduchu au hupewi kabsaaaNdugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la Siasa za Upinzani hapa Nchini akipita na kushinda uchaguzi hiyo tarehe 21 mwezi huu .ambapo anatarajiwa kushinda na kupita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.anapaswa kwa haraka sana na mara moja kumtimua Lissu chamani ili asiendelee kukivuruga chama na kukigawa.
Lissu anapaswa kufukuzwa haraka sana kwa sababu tayari ni kansa kwa CHADEMA ambayo ikiachwa ikae na kusalia itakitafuna na kukiangamiza kabisa chama. Lissu kwa sasa ni kama adui wa chama anayepaswa kupingwa na kuogopwa kama ukoma.
Kwa sasa hana uchungu na CHADEMA na amedhamiria kukiangamiza CHADEMA kwa hasira kubwa sana.hii unaweza kuona matamko na maneno yake anajiropokea kila uchao namna yanavyoendelea kuleta taharuki,mgawanyiko na kuondoa kabisa umoja wa chama.kila siku anafanya kazi ya kukidhalilisha chama na kukivunjia sifa kubwa kiliyojijengea kwa jasho na Damu kwa miaka mingi.
Ikumbukwe ya kuwa lissu ni wakuja CHADEMA.pegine ndio maana hajui gharama iliyotumika kuijenga na kuifikisha hapo ilipo CHADEMA.hii ndio sababu pengine hana uchungu na CHADEMA na ndio maana anaropoka muda wote Utafikiri ana matatizo kichwani mwake.Lissu ameikuta CHADEMA ikiwa imara na yenye mtandao mpana wa uongozi na wanachama maeneo mbalimbali Nchini.
Sasa anaivunja vunja na kuibomoa kwa kasi kubwa sana CHADEMA.anatoa kila aina ya maneno ya kukichafua chama na viongozi wasiomuunga mkono pasipo ushahidi wa aina yoyote ile. Ni lazima afukuzwe CHADEMA ili kama anataka basi akaanzishe chama chake ndiko atoleage matamko na Uropokaji wake.
Mbowe asikubali hata kidogo kumlea huyu mtu asiye na shukurani.amfukuze na kumtimua haraka sana ili kurejesha umoja na mshikamano ndani ya chama.ni lazima Mbowe afahamu ya kuwa Kansa ni kansa tu na ni lazima hatua za mapema zichukuliwe kuiwahi kansa . Kuendelea kuishi na kansa Mwilini bila kuchukua hatua za mapema kutapelekea kuenea na kuangamiza mwili na hatimaye roho.
Angalieni namna ambavyo sisi CCM hufanya maamuzi Magumu ndani ya chama chetu.CCM tunaweza kumuondoa mtu yeyote yule katika nafasi yoyote ile na kumuweka pembeni. CCM tunaweza kumfukuza chamani mtu yeyote yule akionekana kuwa ni kirusi au kansa kwa chama chetu.tumefanya hivyo mara nyingi na tutaendelea kufanya hivyo kila itakapobidi kufanya hivyo kwa maslahi mapana ya chama Na Taifa letu kwa ujumla wake.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
MBOWE atakuwa pumbavu namba moja kufuata ushauri wa adui Yake. Yaani ashauriwe na Lucas Mwashambwa lialia wa CCM halafu atiii!!!! Hili litaku watusi tusi kubwa sana kwa Mtakatifu MBOWENdugu zangu Watanzania,

Jifunzeni kuukubali ukweli za kuhuyu ni Kupe kabisa, maana ang'ang'ania kila sehemu.
Huyu cjui analipwa sh ngap wallah, post zake huwa znakuja humu zikiwa na vumbi.huyu ni Kupe kabisa, maana ang'ang'ania kila sehemu.
Lissu ni kansa na kirusi ambaye hapaswi na kustahili kubakia na kusalia CHADEMA.Akili huna wewe, unafikiri kila mwanasiasa Huwa ni mtu WA kuendekeza visasi kama huko kwenye chama chenu chakavu.
Nenda kafue kaoshi na soksi za Mwigulu akupe hata Hela ya kupandia boda boda uache kubanana kwenye mwendokasi.
Certified chawa😆Huyu ni chawa mwenye vyeti.
Tutaanzisha chama chetu na Lissu ili tupambane na majizi ya ccmHakuna chama chochote kinachoweza kumpokea na kulea tabia chafu ya lissu
Kansa kivipi na kirusi wa aina gani? Atabikia ashinde au ashindwe.Lissu ni kansa na kirusi ambaye hapaswi na kustahili kubakia na kusalia CHADEMA.