Mbowe aligombeaje urais mwaka 2005 kama hana degree?

Hapa umenichanganya
Kumbuka hakuna ajuaye ni wakati gani Katiba ilibadilishwa na kuagiza kuwa ikitokea rais aliyepo madarakani akafariki, basi bila kujali amefariki wakati gani, makamo wake atairithi nafasi hiyo moja kwa moja hadi uchaguzi mkuu ujao.
Kwamba mpaka Magufuli anafariki serikali, CCM na nchi wote walikuwa wanajiandaa na uchaguzi, taarifa ya Samia kuchukua nafasi na kumalizia muda uliobaki ilikuwa ni surprise kwa nchi nzima…hata Samia alikiri kwamba alilazimika kwenda kusoma Katiba inasemaje maana yaliyokuwa yanaendekea yalikuwa yanamchanganya
 
Itakuwa watu tu hawasomi katiba,
 


Wewe ni muongo. Katiba haijasema degree ni kigezo cha kugombea urais
 
Mtu kama Mbowe anakosaje Degree au ndio siasa za kuchafuana. 😁
Niliwahi wasikia madingi flan wa kichaga wanasema Baba yake Mbowe hata uhuru hujapatikana alikuwa na hela, exposure na mali hatari, kwa mujibu wa wale wazee Nyerere amewahi pewa "Support" na baba yake Mbowe eti kupambania uhuru. 😁

Maana yeke Mbowe ni wa kishua "Born to extremely rich parents".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…