Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Khe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
-kunakingine unatuficha sana,hukusikia wakisema lingine au walikonyezana hukuelewaMtu kama Mbowe anakosaje Degree au ndio siasa za kuchafuana. 😁
Niliwahi wasikia madingi flan wa kichaga wanasema Baba yake Mbowe hata uhuru hujapatikana alikuwa na hela, exposure na mali hatari, kwa mujibu wa wale wazee Nyerere amewahi pewa "Support" na baba yake Mbowe eti kupambania uhuru. 😁
Maana yeke Mbowe ni wa kishua "Born to extremely rich parents".
Alete kifungu kilichofanyiwa maboresho..Kuna mdau kasema kuna mabadiliko yalifanyika 2005
KIZIMKAZI ANA DEGREE YA NINI?Kigezo kimojawapo cha kugombea urais Tanzania ni mgombea kuwa na angalau kiwango cha elimu cha degree moja, pia huwa kuna rumours mtaana kwamba Freeman Mbowe aliishia kidato cha sita tu, sasa kama ni kweli Mbowe aliwezaje kupitishwa na tume ya uchaguzi kugombea Urais mwaka 2005??
Wanasiasa wanaogombea nafasi kuanzia udiwani, ubunge hadi Urais wanapaswa kuweka wazi CVs zao wapiga kura wawafahamu vizuri kwa manufaa ya umma. George Bush Jr. wa Marekani yeye alikuwa haoni haya kusema hadi matokeo yake ya darasani kwamba hakuwa kipanga na hadi aliwahi kutania kwamba wanafunzi wa daraja C kama yeye wanaweza kuwa marais pia.
Hakwenda kupiga shule popote, alinunuaga cheti cha degree kutoka Maryland university. Then akaibukaga mtaani akiwa na gamba lake mbele ya waandsihi wa habari akasema 'ile degree wanayotakaga si hi hapa, nani anasema Mrema hana degree?". It was so funny🤣🤣🤣🤣Sheria imetungwa baada ya uchaguzi huo 2005
Ilifanya mpaka mzee mrema kwenda kupiga buku
Wakili msomi Pascal Mayalla toa ufafanuzi tafadhaliKuna mdau kasema kuna mabadiliko yalifanyika 2005
-kunakingine unatuficha sana,hukusikia wakisema lingine au walikonyezana hukuelewa
FUNGUKA
Aise! unakumbukumbu sana yaani miezi 6 tu mzee kukaa zake Amerika akarudi na degree yakeHakwenda kupiga shule popote, alinunuaga cheti cha degree kutoka Maryland university. Then akaibukaga mtaani akiwa na gamba lake mbele ya waandsihi wa habari akasema 'ile degree wanayotakaga si hi hapa, nani anasema Mrema hana degree?". It was so funny🤣🤣🤣🤣
Mkuu inaonekana hiko kigezo hakipo, ni uzushi tu uliozungumzwa muda mrefu hadi wengi tukaubeba kama ukweli. Vigezo vya urais itakuwa ni vile vile vya mbunge-kujua kusoma na kuandika!Wakili msomi Pascal Mayalla toa ufafanuzi tafadhali
Kwenye nchi nafikiri tunakatiba na SheriaNinachojua kikatiba ili uwe mbunge ujue tu kusoma na kuandika, ya raisi sijui. Ila hicho ni kifungu cha "aibu" kibadilishwe. Ndicho kilichomuweka msukuma bungeni.
..Mama Abduli alipata Zero form 4.
..Baba Dudley "mboe" alipata Zero form 6.
..Yupi ni kilaza
Yeah!...ngoja tuone wataalamu wa katiba kina Pascal Mayalla wana maoni gani?Mkuu inaonekana hiko kigezo hakipo, ni uzushi tu uliozungumzwa muda mrefu hadi wengi tukaubeba kama ukweli. Vigezo vya urais itakuwa ni vile vile vya mbunge-kujua kusoma na kuandika!
MasijalaKIZIMKAZI ANA DEGREE YA NINI?
Kwa Hisani ya Martin MMMbowe ana degree kitambo sana
ndioIla sheria haiwezi kuwa juu ya katiba.
Hili suala la Sheria kutokuwa juu ya katiba kwa nchi yetu Lina utata tu.Ila sheria haiwezi kuwa juu ya katiba.
Hahahahahah . . ...Mrema hakuwa mtu wa kawaida. Ile courage ya kusema Ile degree wanayosemaga si hii hapa, watu wote flat🤣🤣🤣Aise! unakumbukumbu sana yaani miezi 6 tu mzee kukaa zake Amerika akarudi na degree yake
Na
Mkwara juu semeni Sasa ,njooni na lingine