johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Yaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu.
Mbowe anaanzisha chokochoko kwa kudai eti Rais Magufuli ( hayati) alivuruga mahusiano ya kimataifa huku Rais Samia akiwa msaidizi wake hivyo naye yumo.
Hizi chokochoko hazitaisaidia Chadema bali zitawaharibia na hatimaye watakosa huruma wanayoisubiria.
Nawatakia Utatu Mtakatifu wenye baraka.