Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Taifa halijamaliza Vita dhidi ya maadui wakuu 3.....Mnyonge mwenyewe
Taifa halijamaliza Vita dhidi ya maadui wakuu 3.....Mnyonge mwenyewe
Yani ndio ukweli ni ukweli umuweka mtu salama.Mbowe kila siku ni kuzusha.
Amezusha kua Magufuli na CCM walikua na ajenda ya siri wachaga na watu wa kaskazini wasiajiriwe serikalini.
Wakati anasema hayo Diwani mkuu wa TISS ni wa kaskazini, kina mzee wa Soma hiyo akiwa mkuu wa mkoa, kina Sabaya wakiwa wakuu wa wilaya. Hao wa kaskazini ni kina nani?
Mbowe kwa kutumia mgongo wa chama chake binafsi cha Chadema alichopewa zawadi ya birthday na baba mkwe wake anazua uzushi kila kukicha na wafuasi wake wasio na akili wanamuamini.
Ya lisu wala siyo bipolar disorder, yeye dish limetilt kabisa, wala usishangae tukimwita chizi.Ukweli mchungu mataga hawataki ataje bipolar disorder .
tutolee ujuha wako hapa mnatumia uelewa mdogo wa hao mnaowaita wanyonge kuharibu nchi huyo marehemu wako ndio alituletea wakina sabaya nao wakajiita wazalendo kumbe majambazi yaliyokalia ofisi za uma mbowe anasema kweliNjia anayochukua MBOWE itazidi kuwaharibia CHADEMA....
Hivi unawezaje kumchafua hayati MAGUFULI kwetu sisi wanyonge?!!!
Hivi Mbowe anayajua kidhati mapenzi ya WATANZANIA WA HALI YA CHINI NA MASKINI juu ya mwendazake JPM.....
Hatari kubwa anayocheza nayo....
Maneno yangu ni lazima yawe UJUHA kwako....sishangai....tutolee ujuha wako hapa mnatumia uelewa mdogo wa hao mnaowaita wanyonge kuharibu nchi huyo marehemu wako ndio alituletea wakina sabaya nao wakajiita wazalendo kumbe majambazi yaliyokalia ofisi za uma mbowe anasema kweli
Mbowe awe mvumilivu, atakumbukwa huko mbeleni!Rubbish, nani anategemea huruma ya Rais. Akili zako zimedumaa kwa kupendeleana kama ilivyo jadi ya majambazi ya CCM. Magufuli alivuruga Kila kitu duniani, ngoja naye avurugwe na Muumba wetu. Simple!
Sukuma gan imeshinda hongereniHiyo saccos ya kichaga imeshapoteza dira!
Ndio hawa wanalia hawana ajiraunyonge sio sifa
Baba mzima na ndevu zako ndani unajisifia kwa mkeo eti mtoto wako ni Mnyonge na dhaifu
Badala ya kumjengea mtoto Confidence unaona raha mtoto kuwa dhaifu
Sasa hata kama wanampenda wakati hayupo so what?na hiyo brain wash aliyowapa mnaojiita wanyonge kuwa kila aliyekuwa anampinga , alikuwa fisadi au mwenye vyeti feki, je na hao ambayo hadi leo hawajui ndugu zao wako wapi, baada ya kukamatwa, unawaweka kundi gani?MUNGU FUNDIHakuna KIONGOZI anayependwa na wananchi wote....
Endelea kumchukia...huku mitaani kwa wanyonge na wasio na elimu wanampenda JPM tofauti kabisa na pang'ang'a zenu mlio na vyeti feki na kufukuzwa kwa UBADHIRIFU WA MALI ZA UMMA....
Bwashee mnaomchukia mko wachache mno bwasheee
At last, he manages to yell out the truthYaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu.
Mbowe anaanzisha chokochoko kwa kudai eti Rais Magufuli ( hayati) alivuruga mahusiano ya kimataifa huku Rais Samia akiwa msaidizi wake hivyo naye yumo.
Hizi chokochoko hazitaisaidia Chadema bali zitawaharibia na hatimaye watakosa huruma wanayoisubiria.
Nawatakia Utatu Mtakatifu wenye baraka.
Nadhani unajichanganya. Chadema toka nwanzo wamesema hawataki hisani kwenye kitu ambacho wanaona ni haki yao. Wanaotegemea hisani ni ACT-WAZALENDO. Wanachokisema hapa ni kilekile anachokisema Mheshimiwa Rais kuwa yeye na Mwendazake walikuwa kitu kimoja. Sasa kama Chadema wanaamini Mwendazake alivuruga mahusiano wataanzaje kumtenganisha na huo uvuragaji.Yaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu.
Mbowe anaanzisha chokochoko kwa kudai eti Rais Magufuli ( hayati) alivuruga mahusiano ya kimataifa huku Rais Samia akiwa msaidizi wake hivyo naye yumo.
Hizi chokochoko hazitaisaidia Chadema bali zitawaharibia na hatimaye watakosa huruma wanayoisubiria.
Nawatakia Utatu Mtakatifu wenye baraka.
Si mlisema amepewa ruzuku?Ruzuku hakuna tena, sasa atajifunza, alifanya ruzuku fedha zake na familia, watanzania washamshtukia
niko na popcorn hapa nasubiri Vita kutoka uchagani 😀😀Mbowe kwa kutumia mgongo wa chama chake binafsi cha Chadema alichopewa zawadi ya birthday na baba mkwe wake
Hizo akaunti zilikuwa na bei gani bwashee?Nadhani unajichanganya. Chadema toka nwanzo wamesema hawataki hisani kwenye kitu ambacho wanaona ni haki yao. Wanaotegemea hisani ni ACT-WAZALENDO. Wanachokisema hapa ni kilekile anachokisema Mheshimiwa Rais kuwa yeye na Mwendazake walikuwa kitu kimoja. Sasa kama Chadema wanaamini Mwendazake alivuruga mahusiano wataanzaje kumtenganisha na huo uvuragaji.
Inaelekea chama chako kilitegemea Chadema wangekinyemekea na kuomba fadhili. Huu msimamo wao bila shaka unawanyima raha. Mnajiuliza itakuwaje Mbowe habadiliki hata baada ya akaunti zake kufunguliwa na mtesi wake kuwekwa pembeni? Huo ndio mtihani.
Amandla...
Mahusiano yote inabidi yawe win win for both sides. Kazi yako ya kwanza kama Amiri jeshi mkuu ni kulinda taifa, kusimamia maslahi ya watu wako at any cost.Yaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu.
Mbowe anaanzisha chokochoko kwa kudai eti Rais Magufuli ( hayati) alivuruga mahusiano ya kimataifa huku Rais Samia akiwa msaidizi wake hivyo naye yumo.
Hizi chokochoko hazitaisaidia Chadema bali zitawaharibia na hatimaye watakosa huruma wanayoisubiria.
Nawatakia Utatu Mtakatifu wenye baraka.