Mbowe: Aliyevuruga Mahusiano ya Kimataifa ni Hayati Magufuli na CCM huku Rais Samia akiwa msaidizi wake

Yaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu.

Mbowe anaanzisha chokochoko kwa kudai eti Rais Magufuli ( hayati) alivuruga mahusiano ya kimataifa huku Rais Samia akiwa msaidizi wake hivyo naye yumo.

Hizi chokochoko hazitaisaidia Chadema bali zitawaharibia na hatimaye watakosa huruma wanayoisubiria.

Nawatakia Utatu Mtakatifu wenye baraka.
Mkuu ulitaka mbowe, kama mwana siasa haongee mambo gani . Wakati hiyo ndio siasa
Ulitaka hampambe mwendazake
 
W
Njia anayochukua MBOWE itazidi kuwaharibia CHADEMA....

Hivi unawezaje kumchafua hayati MAGUFULI kwetu sisi wanyonge?!!!

Hivi Mbowe anayajua kidhati mapenzi ya WATANZANIA WA HALI YA CHINI NA MASKINI juu ya mwendazake JPM.....

Hatari kubwa anayocheza nayo....
Wewe umemfunga mtu mdomo kwa muda wa miaka mitano ukifikiri atakufa na hakufa badala yake umekuja kufu wewe. Hivi bado haamini tu kuwa Chadema ni mpango wa Mungu?
 
Mbowe ni mkabila sana!
Tutamtoa_Mkoloni_Mweusi_Soon_on_Instagram:_“Mwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_akisalimiana_na_Waziri...jpg
 
W

Wewe umemfunga mtu mdomo kwa muda wa miaka mitano ukifikiri atakufa na hakufa badala yake umekuja kufu wewe. Hivi bado haamini tu kuwa Chadema ni mpango wa Mungu?
Mungu yupi ambaye mpango wake unashindwa kwa figisu za ccm?
 
Yaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu.

Mbowe anaanzisha chokochoko kwa kudai eti Rais Magufuli ( hayati) alivuruga mahusiano ya kimataifa huku Rais Samia akiwa msaidizi wake hivyo naye yumo.

Hizi chokochoko hazitaisaidia Chadema bali zitawaharibia na hatimaye watakosa huruma wanayoisubiria.

Nawatakia Utatu Mtakatifu wenye baraka.
Watanzania hamtakuja kupata Rais mzalendo na Fisadi kama Magufuli
 
Yaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu.

Mbowe anaanzisha chokochoko kwa kudai eti Rais Magufuli ( hayati) alivuruga mahusiano ya kimataifa huku Rais Samia akiwa msaidizi wake hivyo naye yumo.

Hizi chokochoko hazitaisaidia Chadema bali zitawaharibia na hatimaye watakosa huruma wanayoisubiria.

Nawatakia Utatu Mtakatifu wenye baraka.
Mnafiki huwa hawezi kujificha daima.. Hizi ndio rangi zako halisi Jo sio zile hadithi zako za juzi
 
Yaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu.

Mbowe anaanzisha chokochoko kwa kudai eti Rais Magufuli ( hayati) alivuruga mahusiano ya kimataifa huku Rais Samia akiwa msaidizi wake hivyo naye yumo.

Hizi chokochoko hazitaisaidia Chadema bali zitawaharibia na hatimaye watakosa huruma wanayoisubiria.

Nawatakia Utatu Mtakatifu wenye baraka.
Lini hayo mahusiano yalikuwa mazuri?na tulipata faida gani yalipokuwa mazuri , huyu mbowe apeleke umalaya wake kwa madem zake kina wema
 
Unapoomba chochote kwa mtu yeyote ambaye sio mbia wako wa maamuzi ya kukupa au kukunyima kitu unachoomba lazima uhitaji huruma yake.
Tunataka haki, hatuombi haki. CDM haiombi kuteuliwa, uwaziri, etc. Wanataka ambacho Kaatiba/ sheria inakiruhusu. Simple!
 
Ni
Njia anayochukua MBOWE itazidi kuwaharibia CHADEMA....

Hivi unawezaje kumchafua hayati MAGUFULI kwetu sisi wanyonge?!!!

Hivi Mbowe anayajua kidhati mapenzi ya WATANZANIA WA HALI YA CHINI NA MASKINI juu ya mwendazake JPM.....

Hatari kubwa anayocheza nayo....
[/QUOTE
Ni kama Chadema wanashindwa kubehave kama chama kikuu cha upinzani, kwa matamshi ya viongozi wao kwa sasa hawana tofauti na UDP, hivyo ni kama washakata tamaa. Huwezi kushika dola kwa kutoa kauli za kugawa wananchi kwa ukabilana ukanda.

Kuna makabila mengi yamekosa haki ya elimu miaka nenda rudi lakini huwezi yasikia yakianzisha chama cha siasa na kulaumu hadharani. Nahisi Chadema wanamfahamu Magufuli wa mitandaoni hawamfahamu yule ambaye anapendwa na wanyonge.
Itafika mahali katika hotuba zao wakianza msema JPM vibaya watu watawaachia mkutano wao. Huwezi msema vibaya mtu ambaye kila mkoa ameacha alama.

Huku kaskazini alikuta reli imekufa kafufua, amejenga stendi ya kisasa Moshi , Arusha pia stendi ilishaanza kujengwa huko kwa Morombo. Au hawa viongozi wa Chadema hawakupenda reli ifufuliwe kwa sababu zao binafsi.
 
Yaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu.

Mbowe anaanzisha chokochoko kwa kudai eti Rais Magufuli ( hayati) alivuruga mahusiano ya kimataifa huku Rais Samia akiwa msaidizi wake hivyo naye yumo.

Hizi chokochoko hazitaisaidia Chadema bali zitawaharibia na hatimaye watakosa huruma wanayoisubiria.

Nawatakia Utatu Mtakatifu wenye baraka.
Mbowe kaongea kweli tupu
 
Magufuli kwa sasa ni sehemu ya udongo kuendelea kupanda jukwaani kuushambulia udongo kuna tija kweli?
 
Yaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu.

Mbowe anaanzisha chokochoko kwa kudai eti Rais Magufuli ( hayati) alivuruga mahusiano ya kimataifa huku Rais Samia akiwa msaidizi wake hivyo naye yumo.

Hizi chokochoko hazitaisaidia Chadema bali zitawaharibia na hatimaye watakosa huruma wanayoisubiria.

Nawatakia Utatu Mtakatifu wenye baraka.
ukwelimchungu
 
Back
Top Bottom