Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Akaunti ina bei Mkuu?Hizo akaunti zilikuwa na bei gani bwashee?
Amandla...
Akaunti ina bei Mkuu?Hizo akaunti zilikuwa na bei gani bwashee?
Ndio Savings account inaanzia tsh 3000 hadi 50,000 kutegemeana na benki husika!Akaunti ina bei Mkuu?
Amandla...
maufuli aliharibu sana mahusiano ya kimataifa!Yaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu.
Mbowe anaanzisha chokochoko kwa kudai eti Rais Magufuli ( hayati) alivuruga mahusiano ya kimataifa huku Rais Samia akiwa msaidizi wake hivyo naye yumo.
Hizi chokochoko hazitaisaidia Chadema bali zitawaharibia na hatimaye watakosa huruma wanayoisubiria.
Nawatakia Utatu Mtakatifu wenye baraka.
Mtu unawezaje kuwa Daktari unakaa darasani miaka 5 na 6 internship bado unajiita mnyonge?Njia anayochukua MBOWE itazidi kuwaharibia CHADEMA....
Hivi unawezaje kumchafua hayati MAGUFULI kwetu sisi wanyonge?!!!
Hivi Mbowe anayajua kidhati mapenzi ya WATANZANIA WA HALI YA CHINI NA MASKINI juu ya mwendazake JPM.....
Hatari kubwa anayocheza nayo....
Mapenzi ya dhati?!! Kwanini hakuna hata mmoja wenu aliingia naye kwenye ile nyumba ya milele?! Mapenzi ya mdomoni tu nyie wanyonge!Njia anayochukua MBOWE itazidi kuwaharibia CHADEMA....
Hivi unawezaje kumchafua hayati MAGUFULI kwetu sisi wanyonge?!!!
Hivi Mbowe anayajua kidhati mapenzi ya WATANZANIA WA HALI YA CHINI NA MASKINI juu ya mwendazake JPM.....
Hatari kubwa anayocheza nayo....
Retired - unachangia sana kiasi unapoteza maana, Unapoomba chochote kwa mtu yeyote ambaye sio mbia wako wa maamuzi ya kukupa au kukunyima kitu unachoomba lazima uhitaji huruma yake. Inapotumika huruma ndio unafanikiwa unachotaka hata baba yako.Rubbish, nani anategemea huruma ya Rais. Akili zako zimedumaa kwa kupendeleana kama ilivyo jadi ya majambazi ya CCM. Magufuli alivuruga Kila kitu duniani, ngoja naye avurugwe na Muumba wetu. Simple!
Mchaga na hele, hela na mchaga. Mpaka CDM wamuelewe Mbowe, CDM itakuwa imekufa. Hata wewe hutoelewa nilichokimaanishaYaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu.
Mbowe anaanzisha chokochoko kwa kudai eti Rais Magufuli ( hayati) alivuruga mahusiano ya kimataifa huku Rais Samia akiwa msaidizi wake hivyo naye yumo.
Hizi chokochoko hazitaisaidia Chadema bali zitawaharibia na hatimaye watakosa huruma wanayoisubiria.
Nawatakia Utatu Mtakatifu wenye baraka.
Umempa ushauri wa kihekima...Retired - unachangia sana kiasi unapoteza maana, Unapoomba chochote kwa mtu yeyote ambaye sio mbia wako wa maamuzi ya kukupa au kukunyima kitu unachoomba lazima uhitaji huruma yake. Inapotumika huruma ndio unafanikiwa unachotaka hata baba yako.
Huku milimani hata mizinga kwa dingi wakati huo, miaka tukienda shule lazima usindikizwe na kelele kidogo ya mama itatoka " mpe mtoto mhurumie" kwa kimachame ungeielewa vizuri na ina nguvu sana.
Mzee wa kichaga atakupiga mkwara akiisikia sauti ya mama, halafu unapigwa mkwanja unasepa.
Nani kasema ni bilionea? Yeye amesema kuwa akaunti zake zilizofungiwa zimefunguliwa. Hicho inachoita bei kinahusika vipi hapa?Ndio Savings account inaanzia tsh 3000 hadi 50,000 kutegemeana na benki husika!
Current account huanzia tsh 100,000
Kwahiyo ukiambiwa mtu kafungiwa account usidhani ni bilionea!
Mbowe lazima alaumu tu maana hela ya kumuhonga mkwewe Magu alilala nayo mbere.Mil 100+ anagombania na mabinti 19 kina Mnyika humohumo lazima alieRuzuku hakuna tena, sasa atajifunza, alifanya ruzuku fedha zake na familia, watanzania washamshtukia
Mnabishana na nani wakati magufuli hayupo?Hatugombani bali tuna bishana kwa hoja
Nimeuliza kwa sababu mbwiga wa Ufipa wanadhani hizo account zilikuwa na fedha!Nani kasema ni bilionea? Yeye amesema kuwa akaunti zake zilizofungiwa zimefunguliwa. Hicho inachoita bei kinahusika vipi hapa?
Amandla...
Kwa hiyo TRA walifunga account zisizokuwa na fedha? Na wakasema hawatamrudishia pesa ingawa hawakukuta fedha?Nimeuliza kwa sababu mbwiga wa Ufipa wanadhani hizo account zilikuwa na fedha!
Sasa kama mnajiweza Amsterdam wa nini?!unyonge sio sifa
Baba mzima na ndevu zako ndani unajisifia kwa mkeo eti mtoto wako ni Mnyonge na dhaifu
Badala ya kumjengea mtoto Confidence unaona raha mtoto kuwa dhaifu
Mbowe avae Dela tena! Tobaaa. HahahaMbowe safari hii atavishwa dela + kijola ili akamsute mama
Wangezikuta wangezichukua wala wasingefunga account!Kwa hiyo TRA walifunga account zisizokuwa na fedha? Na wakasema hawatamrudishia pesa ingawa hawakukuta fedha?
Amandla...
Hapo sasa!!!Sasa kama mnajiweza Amsterdam wa nini?!