Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Tutakufa muda ukifika....Eti wanyonge, hilo jina la laana limeondoka na mwendazake, kiongozi gani sasa hivi unamsikia analitumia??aliwatia ujinga kujiona mnyonge nayo ikawa sifa??wewe mnyonge kwenye awamu ya tano kuna unafuu wowote uliupata?na tangiapo CDM, huwa haina wafuasi wasiojitambua(wanyonge)kwenu ni ccm, utakuta mtu hata maji ya kunywa hana lakini humwambii kitu juu ya ccm!!MTAJI WA CCM ni umasikini wenu na UJINGA.Kama mna mapenzi ya dhati kweli si mmfuate huko,
Ni Mpumbavu tu asiye na mapenzi na mpendwa wake ALIYETANGULIA....
Unyonge wa mwafrika haujaisha...kwani maadui wakuu 3 wa taifa TUMEWAMALIZA ?!!!
#KaziIendelee