johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Njia anayochukua MBOWE itazidi kuwaharibia CHADEMA....Yaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu.
Mbowe anaanzisha chokochoko kwa kudai eti Rais Magufuli ( hayati) alivuruga mahusiano ya kimataifa huku Rais Samia akiwa msaidizi wake hivyo naye yumo.
Hizi chokochoko hazitaisaidia Chadema bali zitawaharibia na hatimaye watakosa huruma wanayoisubiria.
Nawatakia Utatu Mtakatifu wenye baraka!
Hatugombani bali tuna bishana kwa hojaMbowe aache kugombana na marehemu na wamama, atafute wanaume wenziwe wa shoka wamnyooshe
unyonge sio sifaNjia anayochukua MBOWE itazidi kuwaharibia CHADEMA....
Hivi unawezaje kumchafua hayati MAGUFULI kwetu sisi wanyonge?!!!
Hivi Mbowe anayajua kidhati mapenzi ya WATANZANIA WA HALI YA CHINI NA MASKINI juu ya mwendazake JPM.....
Hatari kubwa anayocheza nayo....
Chama cha urithi = CHADEMAMbowe kila siku ni kuzusha.
Amezusha kua Magufuli na CCM walikua na ajenda ya siri wachaga na watu wa kaskazini wasiajiriwe serikalini.
Wakati anasema hayo Diwani mkuu wa TISS ni wa kaskazini, kina mzee wa Soma hiyo akiwa mkuu wa mkoa, kina Sabaya wakiwa wakuu wa wilaya. Hao wa kaskazini ni kina nani?
Mbowe kwa kutumia mgongo wa chama chake binafsi cha Chadema alichopewa zawadi ya birthday na baba mkwe wake anazua uzushi kila kukicha na wafuasi wake wasio na akili wanamuamini.
Ni kweli usemayo...unyonge sio sifa
Baba mzima na ndevu zako ndani unajisifia kwa mkeo eti mtoto wako ni Mnyonge na dhaifu
Badala ya kumjengea mtoto Confidence unaona raha mtoto kuwa dhaifu
Mbowe hataachia uongozi chadema labda tu kwa mkwe wake kama yeye alivyopewa chama kama birthday present na baba mkwe wake.Chama cha urithi = CHADEMA
....chama cha UKWENI....Chama cha urithi = CHADEMA
Majuha wamejaa huko....Mbowe hataachia uongozi chadema labda tu kwa mkwe wake kama yeye alivyopewa chama kama birthday present na baba mkwe wake.
Chadema is a family party. Hua nashangaa mtu mwenye akili timamu ashangilie chadema, bora hata kaa Hashim Rungwe.
Eti wanyonge, hilo jina la laana limeondoka na mwendazake, kiongozi gani sasa hivi unamsikia analitumia??aliwatia ujinga kujiona mnyonge nayo ikawa sifa??wewe mnyonge kwenye awamu ya tano kuna unafuu wowote uliupata?na tangiapo CDM, huwa haina wafuasi wasiojitambua(wanyonge)kwenu ni ccm, utakuta mtu hata maji ya kunywa hana lakini humwambii kitu juu ya ccm!!MTAJI WA CCM ni umasikini wenu na UJINGA.Kama mna mapenzi ya dhati kweli si mmfuate huko,Njia anayochukua MBOWE itazidi kuwaharibia CHADEMA....
Hivi unawezaje kumchafua hayati MAGUFULI kwetu sisi wanyonge?!!!
Hivi Mbowe anayajua kidhati mapenzi ya WATANZANIA WA HALI YA CHINI NA MASKINI juu ya mwendazake JPM.....
Hatari kubwa anayocheza nayo....