Mbowe: Aliyevuruga Mahusiano ya Kimataifa ni Hayati Magufuli na CCM huku Rais Samia akiwa msaidizi wake

Tutakufa muda ukifika....

Ni Mpumbavu tu asiye na mapenzi na mpendwa wake ALIYETANGULIA....

Unyonge wa mwafrika haujaisha...kwani maadui wakuu 3 wa taifa TUMEWAMALIZA ?!!!

#KaziIendelee
 
Tangia siasa za 2010 mbowe ana fanya siasa za lawama tu. Embu badilika maisha ya wa Tz ni duni sana embu hubiri siasa za NINI UTAFANYA mkipewa madaraka ...leo ni miaka 11 tangu Dkt. Slaa ashindwe uchaguzi mkuu mbowe hubadiliki
 
Reactions: mmh
Mlitaka awaoe ?..
kwani alikuwa anaongoza maskini na wanyonge tu?
 
Mbowe hataachia uongozi chadema labda tu kwa mkwe wake kama yeye alivyopewa chama kama birthday present na baba mkwe wake.

Chadema is a family party. Hua nashangaa mtu mwenye akili timamu ashangilie chadema, bora hata kaa Hashim Rungwe.
Hilo li saccos la kichaga hovyo sana!
 
Mbowe kaona chama kinakufa kwa kuunga juhudi daily kwa mama Samia Suluhu,ameshaona mbali maana kila mwanachama wa nyumbu a.k.a CDM wanasifia kwa nyimbo na mapambio kama naye alivyoanza sifia mwanao,Sasa anataka kubadili gia zake zile za angani ili aendelee kubaki na nyumbu waendelee kupiga pesa za wanachama,si mnajua tena Sacco's lazima iendelee kunufaisha wanachama wake wakuu
 
Rubbish, nani anategemea huruma ya Rais. Akili zako zimedumaa kwa kupendeleana kama ilivyo jadi ya majambazi ya CCM. Magufuli alivuruga Kila kitu duniani, ngoja naye avurugwe na Muumba wetu. Simple!
 
Mimi nipo Chadema ila sina imani na Mbowe. Hafai kuwa kiongozi.
 
Pumbavu Jiwe alikichafua mwenyewe
 
Tutakufa muda ukifika....

Ni Mpumbavu tu asiye na mapenzi na mpendwa wake ALIYETANGULIA....

Unyonge wa mwafrika haujaisha...kwani maadui wakuu 3 wa taifa TUMEWAMALIZA ?!!!

#KaziIendelee
Hata kama aliyetangulia alikuwa mshenzi tu?ina tegemea alipo kuwa hai aliwatendea watu nini!!hata kama haujaisha lakini sio kupeana sifa za kutudumaza na sisi tukaona udumavu huo ni sifa kumbe ni laana.
 
Hata kama aliyetangulia alikuwa mshenzi tu?ina tegemea alipo kuwa hai aliwatendea watu nini!!hata kama haujaisha lakini sio kupeana sifa za kutudumaza na sisi tukaona udumavu huo ni sifa kumbe ni laana.
Hakuna KIONGOZI anayependwa na wananchi wote....

Endelea kumchukia...huku mitaani kwa wanyonge na wasio na elimu wanampenda JPM tofauti kabisa na pang'ang'a zenu mlio na vyeti feki na kufukuzwa kwa UBADHIRIFU WA MALI ZA UMMA....

Bwashee mnaomchukia mko wachache mno bwasheee
 
Mbowe ni mkabila sana!
 
Reactions: mmh
Wazazi wako Wana hasara Sana. CDM wanajenga ofisi nchi nzima kwa nguvu za watu halafu mtu anasema imekufa
Wanajenga OFISI ili wasambaze sumu ya chuki za Mwenyekiti wao MBOWE?!!!

Watanzania walio wengi wanaijua vyema historia ya taifa lao...vyama vyenu vya SACCOS Wala hawana haja navyo....
 
Mnyonge mwenyewe
 
unyonge sio sifa
Baba mzima na ndevu zako ndani unajisifia kwa mkeo eti mtoto wako ni Mnyonge na dhaifu

Badala ya kumjengea mtoto Confidence unaona raha mtoto kuwa dhaifu
Mbona Lisu ni mnyonge kwa wazungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…