Mbowe: Aliyevuruga Mahusiano ya Kimataifa ni Hayati Magufuli na CCM huku Rais Samia akiwa msaidizi wake

Yani ndio ukweli ni ukweli umuweka mtu salama.

Jaribu kufikiria kwanini mama kwasasa anazunguka nchi za watu.

Haya mambo ndio yanatufanye nchi isiweze kwenda mbele.
 
tutolee ujuha wako hapa mnatumia uelewa mdogo wa hao mnaowaita wanyonge kuharibu nchi huyo marehemu wako ndio alituletea wakina sabaya nao wakajiita wazalendo kumbe majambazi yaliyokalia ofisi za uma mbowe anasema kweli
 
tutolee ujuha wako hapa mnatumia uelewa mdogo wa hao mnaowaita wanyonge kuharibu nchi huyo marehemu wako ndio alituletea wakina sabaya nao wakajiita wazalendo kumbe majambazi yaliyokalia ofisi za uma mbowe anasema kweli
Maneno yangu ni lazima yawe UJUHA kwako....sishangai....

Mbowe ni JUHA zaidi yangu.....chama chake cha "Ukweni" mbona kinajulikana vyema tu.....

#KaziInaendelea
 
Rubbish, nani anategemea huruma ya Rais. Akili zako zimedumaa kwa kupendeleana kama ilivyo jadi ya majambazi ya CCM. Magufuli alivuruga Kila kitu duniani, ngoja naye avurugwe na Muumba wetu. Simple!
Mbowe awe mvumilivu, atakumbukwa huko mbeleni!
 
Hata kama ni kweli lakini Mbowe anatakiwa ajue kwamba Magufuli Kesha kufa na kuzikwa ila mama Tanzania yungali hai na anatakiwa malezi na matunzo lawama hazisaidii kabisa kwa sasa.
 
Sasa hata kama wanampenda wakati hayupo so what?na hiyo brain wash aliyowapa mnaojiita wanyonge kuwa kila aliyekuwa anampinga , alikuwa fisadi au mwenye vyeti feki, je na hao ambayo hadi leo hawajui ndugu zao wako wapi, baada ya kukamatwa, unawaweka kundi gani?MUNGU FUNDI
 
Utasikia kasahaulika ila haipiti siku bila kutajwa.
 
Reactions: mmh
At last, he manages to yell out the truth

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Nadhani unajichanganya. Chadema toka nwanzo wamesema hawataki hisani kwenye kitu ambacho wanaona ni haki yao. Wanaotegemea hisani ni ACT-WAZALENDO. Wanachokisema hapa ni kilekile anachokisema Mheshimiwa Rais kuwa yeye na Mwendazake walikuwa kitu kimoja. Sasa kama Chadema wanaamini Mwendazake alivuruga mahusiano wataanzaje kumtenganisha na huo uvuragaji.

Inaelekea chama chako kilitegemea Chadema wangekinyemekea na kuomba fadhili. Huu msimamo wao bila shaka unawanyima raha. Mnajiuliza itakuwaje Mbowe habadiliki hata baada ya akaunti zake kufunguliwa na mtesi wake kuwekwa pembeni? Huo ndio mtihani.

Amandla...
 
Mbowe safari hii atavishwa dela + kijola ili akamsute mama
 
Reactions: mmh
Hizo akaunti zilikuwa na bei gani bwashee?
 
Mahusiano yote inabidi yawe win win for both sides. Kazi yako ya kwanza kama Amiri jeshi mkuu ni kulinda taifa, kusimamia maslahi ya watu wako at any cost.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…