Mbowe: Aliyevuruga Mahusiano ya Kimataifa ni Hayati Magufuli na CCM huku Rais Samia akiwa msaidizi wake

Mkuu ulitaka mbowe, kama mwana siasa haongee mambo gani . Wakati hiyo ndio siasa
Ulitaka hampambe mwendazake
 
W
Wewe umemfunga mtu mdomo kwa muda wa miaka mitano ukifikiri atakufa na hakufa badala yake umekuja kufu wewe. Hivi bado haamini tu kuwa Chadema ni mpango wa Mungu?
 
W

Wewe umemfunga mtu mdomo kwa muda wa miaka mitano ukifikiri atakufa na hakufa badala yake umekuja kufu wewe. Hivi bado haamini tu kuwa Chadema ni mpango wa Mungu?
Mungu yupi ambaye mpango wake unashindwa kwa figisu za ccm?
 
Watanzania hamtakuja kupata Rais mzalendo na Fisadi kama Magufuli
 
Mnafiki huwa hawezi kujificha daima.. Hizi ndio rangi zako halisi Jo sio zile hadithi zako za juzi
 
Lini hayo mahusiano yalikuwa mazuri?na tulipata faida gani yalipokuwa mazuri , huyu mbowe apeleke umalaya wake kwa madem zake kina wema
 
Unapoomba chochote kwa mtu yeyote ambaye sio mbia wako wa maamuzi ya kukupa au kukunyima kitu unachoomba lazima uhitaji huruma yake.
Tunataka haki, hatuombi haki. CDM haiombi kuteuliwa, uwaziri, etc. Wanataka ambacho Kaatiba/ sheria inakiruhusu. Simple!
 
Ni
 
Mbowe kaongea kweli tupu
 
Magufuli kwa sasa ni sehemu ya udongo kuendelea kupanda jukwaani kuushambulia udongo kuna tija kweli?
 
ukwelimchungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…