Mbowe amejitahidi kuifufua CHADEMA ila Lissu ndio kapigia jeneza msumari wa mwisho!

Nasema hivi rudisheni bandar zetu ujinga hatutaki, mamayenu mwambien arudishe hela za warabu alizohongwa ili kutoa bandar zetu.
Endelea kusubiri. Serikali haiendeshwi kwa mihemko.
 
Hapo umejisema mwenyewe, maana Chadema na huyo Lissu ndiyo watetezi wa [emoji304] upinde nchi hii. Chadema ni chama cha machoqo.
Akili zako zipo mashakani jomba
 
Kwa ujinga wake na ujuaji wa kijijini kwao Singida huko, Tundu as in tobo, hajui nani aliyempiga risasi. Wenzake wanamchora na kumtumia kuongea ujinga.
Wafuas wa jangili lililokufa jiz la mali za umma mmeumbuka baada ya kufanya siri wiz uliotekelezwa kipindi cha mungu wenu na bado tutaweka wazi soon pesa hizo zilikuwa chumba gani ili nyie wajinga mliokuwa mnatumika hovyo hovyo bila malipo mjione kuwa mlikuwa wapumbavu.
 
umejigeuza psychiatric expert kweli ccm imejaza mapumbavu ndio maana mnagawa bandari bure kwa warabu.
 
naona mnaanza kufufuka, Jiwe aliwaacha solemba! Shetani ulipotea kabisa kabisa
 

Kwa taarifa yako mwenye mvuto huko cdm ni Lisu. Yaani bila Lisu cdm mvuto unashuka. Hata kwenye kampeni za uchaguzi za 2020 kampeni za Lisu ndio zilikuwa zinajaza vibaya. Na huko alikuwa anapiga NONDO kali mno. Kwa sasa anaendelea alipoishia, na watu wanajaa vibaya. Subiri dhalimu ukweli wake uwekwe wazi.

NB: ule utapeli wenu na dhalimu kuwa mtajenga viwanda 100 kila mkoa uliishia wapi?
 
Wewe their dumbass ungeainisha hayo maboko hapa ili tujiridhishe ni boko ama yanakua maboko in walinda legacies voice!! Hivi CDM kumbe ilikufa? Na iliuawa lini?
 
Sasa mtu unaitwa jinga lao kuna busara yeyote unaweza ongea
 
Wewe their dumbass ungeainisha hayo maboko hapa ili tujiridhishe ni boko ama yanakua maboko in walinda legacies voice!! Hivi CDM kumbe ilikufa? Na iliuawa lini?
pitia video clips za mikutano yake.yaani anajaribu kuongea na hadhira lakini hadhira imemkataa ...anayemuitikia ni mtu mmoja au wawili.
 
Umeathirika sehemu ya ubongo wa kati Cerebral cortex,tafuta matibabu kabla hujachelewa sana.
kwamba wewe ni psychiatric expert kupitia jf, kweli ccm ni kokoro la wapumbavu ndio maana bandari zinapouzwa milele mnashangilia kumbe ni upumbavu uliowajaa.
 
wewe ndio mshauri wa chadema kwa sasa??ndivyo mnavyodanganyana huko ?
Kuhusu viwanda ....unadhani kwa nini Mhe. Rais amemteua waziri maalumu kwa ajili ya viwanda???CCM inatekeleza Ilani na Mpango Mkakati wa muda mrefu.
 
pitia video clips za mikutano yake.yaani anajaribu kuongea na hadhira lakini hadhira imemkataa ...anayemuitikia ni mtu mmoja au wawili.
aliyekataliwa na hadhira anaweza kusikilizwa? Wewe na wasira yule sokwe aliyetoroka gombe mnatofauti gani eti lissu akienda chato mumzomee badala yake akawa anashangiliwa ni wapumbavu tu ndio wanaweza kusikiliza wauza bandari na makuwadi yao kwa dpworld.
 
wewe ndio mshauri wa chadema kwa sasa??ndivyo mnavyodanganyana huko ?
Kuhusu viwanda ....unadhani kwa nini Mhe. Rais amemteua waziri maalumu kwa ajili ya viwanda???CCM inatekeleza Ilani na Mpango Mkakati wa muda mrefu.
Kwani nchi hii kuteuliwa waziri ni ishara ya ufanisi kwenye sekta fulani? Sisi tunataka kuona viwanda vikitoa ajira, ww unatambua habari za kuteuliwa waziri? Kweli akili za mwenge zimeteka akili yako. Weka ile List ya viwanda ulisema utaweka hapa miaka mitano sasa imeisha.
 
Tulia wewe Mataga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…