Mbowe amejitahidi kuifufua CHADEMA ila Lissu ndio kapigia jeneza msumari wa mwisho!

pitia video clips za mikutano yake.yaani anajaribu kuongea na hadhira lakini hadhira imemkataa ...anayemuitikia ni mtu mmoja au wawili.
Wee jinga hapa umepuyanga!! Et mtu mmoja au wawili!! Legacy imewaharibu akili kbs
 
Cdm ni zaid ya chama cha siasa.
Usilinganishe kikundi cha kufisadi rasilimali za nchi ccm na taasisi pendwa cdm.
Lissu nimekuwa nikimuunga sana mkono!!! Amepotoka Big time. CHADEMA imeumizwa
 
Mtoa mada una paranoid ideas .hatuba za LIsu zimekukutisa ubongo.
 
Chadema wana endelea vizuri sana!
 
Lisu ana ugonjwa wa akili ndiyo maana mbowe aliona mwanya wa kumuua kwa risasi ili afe kwa sababu ya kuropoka kwake ili goma liwe na awamu ya 5. Halafu mbowe gaidi huyu akaja akalipa watu hela wakajifanya usalama wakaenda kutumia deep fake video wakamtumia clip eti Dkt Magufuli aliamrisha auawe, yaani huu mchogo fake lisu kauamini
 
Brother jingalao you are dreaming those days dreams.. CHADEMA is there to stay to the very end... Ifike mahali muamini kwa lazima kwamba CHADEMA ni mpango wa Mungu.. Mbeba maono hafi bro!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brother jingalao you are dreaming those days dreams.. CHADEMA is there to stay to the very end... Ifike mahali muamini kwa lazima kwamba CHADEMA ni mpango wa Mungu.. Mbeba maono hafi bro!

Sent using Jamii Forums mobile app
niliwahi kudream hivyo ila ndio hivyo tena wale mliowatarajia wameshanyongonyezwa na mwamba CCM.
IMEENDAAA HIYO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…