Mbowe amejitahidi kuifufua CHADEMA ila Lissu ndio kapigia jeneza msumari wa mwisho!

Uchaguzi umetangazwa ingizeni Team mjipime basi
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Wapiga kura hatuna muda wa kuendelea kushiriki chaguzi za kishenzi kwa mazingira haya.
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Wapiga kura hatuna muda wa kuendelea kushiriki chaguzi za kishenzi kwa mazingira haya.
Tatizo muongo muongo ukimona ka sio yeye*2

Lissu Ameyatimba
 
Si nimesikia mmepigwa maarufuku, mmekataliwa na chama kwamba mpo kimaslahi
 
Cdm ni zaid ya chama cha siasa.
Usilinganishe kikundi cha kufisadi rasilimali za nchi ccm na taasisi pendwa cdm.
CDM mpo vizuri sana aisee. Mimi napenda vitu vizuri, napenda changamoto, napenda mwisho mwema. CDM sina bdi kuwapa maua yenu.

CDM wanafanya mambo kwa faida pana ya nchi. Ukiwafuatilia CDM ni watu ambao hawaendi kixombi, wanatofauti kubwa sana ya mawazo kati yao lakini wanafanikiwa kuishi pamoja huku wakitofautiana na kuheshimiana.

Kila mmoja anajenga hoja zake na ana misingi ya kusimamia. Kuna wakati Msigwa alitofautiana na wenzake wote kuhusiana na issue ya Ngorongoro, 'watabiri wa hali ya hewa' wakaanza ramli zao kwamba Msigwa anajiandaa kwenda CCM au anatengeneza Mazingira ya kufukuzwa ili aende CCM, lakini haikuwa hivyo.
Lissu na Mwenyekiti hawa watu wanaheshimiana sana, lakini kamwe haikumfunga Lissu kuonyesha kutofautiana na Mwelekeo wa Mwenyekiti wake.

Ndani ya CDM, nje ya Msimamo rasmi wa Chama, platform ya mijadala ipo equally provided to all, hata kama wewe ni Mwenyekiti au Makamu au uwe yeyote yule, utapingwa kama yeyote na maisha yanaendelea kwa amani, umoja na upendo. Huwa naona Katibu ndiye pekee hujiepusha kuwa na maoni binafsi.

Wanatofautiana sana na kila mmoja anaelezea mitazamo yake lakini cha ajabu watu hawachanganyikiwi. Wanazidi kuwaekewa viongozi wao, na wao wanachama wakitofautiana bado hawafarakani. Njoo kwetu sasa, ni mwendo wa zidumu fikira.

Tunahitaji hivi vyama viimarike, ningekuwa kwenye nafasi ya kushauri, basi ningesema wafumbe macho, Dr. Slaa arudi kundini, pamoja na mapungufu yake, ana kipaji chake ambacho CDM wanakihitaji sana wakati huu.
 
Lisu anafundisha wananchi huko geita .. mtakuja shituka nchi haiwataki kabisa maccm
 
Lisu anafundisha wananchi huko geita .. mtakuja shituka nchi haiwataki kabisa maccm
anafundisha jinsi ya kutukana viongozi?ndio kazi aliyopewa na chadema?itisheni kikao mjitafakari acheni kuficha kichwa kama mbuni
 
Tangu mfadhili wenu jiwe awaache yatima mmekosa kabisa pa kujishikiza
Sukuma gang walitaka kumtumia Lisu kumshambulia Samia lkn Lisu ameamua kuwa mkweli kwa kuongea ukweli kuwa jiwe alikuwa mwizi. Sukuma gang wamefura. Ama kweli ukweli unauma.
 
Legend aliekua na file mirembe,labda ligendi taahira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…