DOKEZO Mbowe anakwenda kupewa nafasi nyeti ili kuyalinda maridhiano

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Haiwezi kutokea, ikitokea tu ,naamuru malaika wa pembe zote za Dunia kutoa adhabu kali juu yake ,kufukuzwa ndani ya chama ndani ya masaa 7 ,acheni mchezo Mara moja
 
Haiwezi kutokea, ikitokea tu ,naamuru malaika wa pembe zote za Dunia kutoa adhabu kali juu yake ,kufukuzwa ndani ya chama ndani ya masaa 7 ,acheni mchezo Mara moja
Mkuu majibu ya comment yako yapo katika post namba #23 panda juu kidogo uisome utaelewa sababu ya kuteuliwa kwake.
 
Huwezi kunikalisha kimya wewe kama nani,, au imekuuma kusema hakuna mpinzani wa kweli,, ndio wote janja janja wanatufuta vyeo na wale na familia zao,, mfano dokta mashinji, nusrat hanje, Edward lowasa, tambwe hiza, etc.
😂😂😂 mkuu nikiangalia avatar yako kama namuona mzee senga vile hahahaha.
 
Huwezi kunikalisha kimya wewe kama nani,, au imekuuma kusema hakuna mpinzani wa kweli,, ndio wote janja janja wanatufuta vyeo na wale na familia zao,, mfano dokta mashinji, nusrat hanje, Edward lowasa, tambwe hiza, etc.
Nasema tena, tuundie upinzani unaoiuta wa maana. Huwezi kaa kimya, usitupigie kelele.
 
Mkuu Mbowe ni mwanachama, na mwenyekiti KWa Mjibu wa SHERIA ya chama, ila chama ni Cha watanzania , apewe cheo na kuteuliwa na kukubali KWa vigezo vipi, sio Mbowe huyu,haiwezi tokea
Ok mkuu lets wait to see, ikitokea akateuliwa, what's gonna do!
 
yoga em uje my kipenzi wangu.
 
Kwanini Mbowe na sio ZITTO CHEYO SELASINI AU DUNI ?
 
Ingekuwa na ladha zaidi ingeletwa na Mrs badala ya Mr kwasabu katika maelezo mhabarishaji hajamtaja mtu wake nyeti aliyempa dokezo
 
Samahani mkuu Lisu na Mbowe wale wale wa 2015 kumpa kuwania uraisi mwana ccm waliyemuuimba ni fisadi kwa miaka kumi, ndio hawa hawa ambao hawanunuliki!?
labda Slaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…