Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #141
Kama katiba ya CCM imekubali mpinzani kuwa makamu wa raisi (maalim seifu)Unajua Katiba ya CCM inasemaje kuhusiana na nafasi hizo?
Hoja yako inafikirisha. Maana walibadilisha katiba yao ya visiwa lakini hawakubadili ya Chama, Katiba ya Chama haiwezi kuwa zaidi ya ile ya nchi.Kama katiba ya CCM imekubali mpinzani kuwa makamu wa raisi (maalim seifu)
Je itakataaje mpinzani kuwa naibu waziri?
Kama unamaanisha kuwa mpinzani kuteuliwa na raisi tumeiga Kenya basi unajidanganya sana unless uwe na lako jambo aidha wewe ni Mkenya ambae unatumia kimvuli cha siasa za Tanzania kuonesha kuwa nchi yenu ni bora nk.Hili tulishalidokeza siku nyingi; labda tu ni kwa vile haikuanzishwa kama mada.
Dalili zote zinaonyesha kwamba siasa za Kenya ndizo zinazokuja kujaribiwa Tanzania.
Ni kama Tanzania siku hizi inaiga kila kitu kinachofanyika Kenya; iwe ukulima wa parachichi, nasi tunakimbilia kuiga; kuzungumza kiingereza, nasi tunataka tuwe kama wao. Wakisema wao wanawatambua 'diaspora' wao kwa kiwango fulani, nasi tunatafuta kuhimiza watu wetu watoke kwenda nje;, kana kwamba hapa kwetu hakuna fursavtele ambazo vijana wetu hawa wanaweza kuzitumia kujenga taifa lao kwa ufanisi.
Tumekuwa watu wa kuiga tu kila kitu, hatuna ubunifu wowote tunaoweza kujivunia...; la hasha; nisisahau Kiswahili chetu na taasisi yetu iliyofanya kazi nzuri sana BAKITA.
Nje ya hapo, ninaomba kukumbushwa eneo jingine tunaloweza kujivunia katika kulifanya vizuri.
Lakini naomba usinitajie udumu wa CCM kwenye madaraka, kama mfano.
Amna mwamba tuna imani nae 😂😂😂[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hili neno linakua kwa kasi sana,eti na yeye japo amiminiwe asali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji114][emoji114][emoji114]
Ok mkuu, ni vizuri.Mi natunza maandishi yangu.
Shukran mkuu 🙏Hoja yako inafikirisha. Maana walubadilisha katiba yao ya visiwa lakini hawakubadili ya Chama, Katiba ya Chama haiwezi kuwa zaidi ya ile ya nchi.
You have a point.
You surely are deeply obsessed with Mbowe. What is he to you, btw?Oh kumbe unaamini kuwa ikiundwa serikali ya kitaifa ambayo Mbowe yupo ndani yake kutakuwa na upigaji.
Kwa maana nyingine Mbowe nae atakuwa mpigaji kupitia kimvuli cha umoja huo, sawa umeeleweka.
Cheo hicho hakipo kwa sasa.Naibu waziri mkuu
Naanzaje kuikataa mkuu, wakati kuna genge langu lipo mitandaoni kunitetea pale ninapoilamba.Hata kama ni wewe ndugu msomaji, utakataa kulamba asali yako mwemyewe
Swadakta kabisa mkuu.Ni Jambo jema sana
Huenda Tanzania imeanza kukua kisiasa kwa sasaSwadakta kabisa mkuu.
Ndo maana ake mkuu.Huenda Tanzania imeanza kukua kisiasa kwa sasa
Sijaharibu; ni fact ambayo siyo ngumu sana kuikubali, ila tulio wengi huwa tunakwepa kuikubali. Bado hatujaandaa chama kingine kinachoweza kushika dola kwa usahihi. Tunavyo vyama vingi tu vinavyoweza kushika dola ila si kwa usahihi. Tukilikubali hilo, ndiyo pale maandalizi yetu yatakapoanziaUmejenga hoja vizur ila hiyo aya hapo mwisho umeharibu kabisa
Huyo alieku quote anajua sana. Sema amejaribu kukwepesha ukweli ili kutafuta uungwaji mkono wa chawa wenzake.Sijaharibu; ni fact ambayo siyo ngumu sana kuikubali, ila tulio wengi huwa tunakwepa kuikubali. Bado hatujaandaa chama kingine kinachoweza kushika dola kwa usahihi. Tunavyo vyama vingi tu vinavyoweza kushika dola ila si kwa usahihi. Tukilikubali hilo, ndiyo pale maandalizi yetu yatakapoanzia
Ccm wenyewe wanaong'ang'ania madaraka hadi kuua wananchi na kuhujumu uchaguzi wao ndio hawataki ulaji.Ndo maana mie mwenzenu haya mambo ya siasa siyatoleagi macho kivile,, mpinzani wa kweli bongo hayupo, narudia tena hayupo, wote wanatafuta vyeo(ulaji) kwa ajili ya wao na familia zao, rejea kwa Edward lowasa, tambwe hiza, dokta mashinji, etc.
Kama jinsi Magufuli alivyowapigania watanzania dhidi ya wanyonyaji wa nchi yetu. Matokeo yake wanyonyaji wakawatumia wachumia tumbo wa nchi yetu wenyewe kumkebehi na kumdhihaki.Bora akapumzike maana wa tanzania bado hawajawa tayari kwa mabadiliko
Bado wametawaliwa na woga na unafiki
Kujitolea kuwapigania watu ambao hawajielewi utaiadhirishaa Familia yako na wanaokutegemea
Utakufa wabaki wanakukebei