Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

hivi kwa mfano lisu amekuwa raisi, mdee atakuwa nani?? bulayo naye atakuwa nani ?? fikiria mnyika mbowe ,huoni ni kituko?? Nyalandu kazi anaiweza na imekamilika akishindwa membe yupo, kuhusu lisu ........

Nyalandu hayuko kwenye mahesabu yetu, acha hao wajumbe wampigie kura, lakini mwenye ushawishi kwetu ni Tundu Lissu.
 
Mpaka muda huu hao Chadema bado hawajakanusha huenda basi ni kweli. Mungu nisaidie Siasa niwe Mshabiki tu wa kupita na si zaidi.
Sikiliza haya mahojiano. Dakika za kwanza tu anaelezea kura zilivyopigwa
 
Upumbavu wa na ufitini wa CCM hizi ni propaganda nyeusi tuipoponye nchi yetu tuache fitina na ufitinishaji! Tanzania no taifa la upendo na taifa teule la Mungu tupendane!
 
Mpaka muda huu hao Chadema bado hawajakanusha huenda basi ni kweli. Mungu nisaidie Siasa niwe Mshabiki tu wa kupita na si zaidi.

Wanachofanya hao wajumbe ni haki yao, lakini Nyalandu hana ushawishi wowote kwetu sisi wapiga kura wa ukweli wa upinzani. Hayo maamuzi ya wajumbe ni halali, lakini hayana afya kwa mustakabali wa Cdm.
 
Mpaka muda huu hao Chadema bado hawajakanusha huenda basi ni kweli. Mungu nisaidie Siasa niwe Mshabiki tu wa kupita na si zaidi.
Chadema hawana muda wa kujibu propaganda uchwara za CCM. Siku zote CCM ndo ilikuwa makini kiintelejensia kuviendesha nyama vya upinzani ila Safari hii Chadema ndo wako makini kimedani na wanawaendesha CCM kiintelejensia.
 
Wewe choqo na hao wanaokutuma hizi propaganda mfu mumechemka.
 
Nyalandu hayuko kwenye mahesabu yetu, acha hao wajumbe wampigie kura, lakini mwenye ushawishi kwetu ni Tundu Lissu.
Nyalandu atakuja kurudi CCM siku moja. Huyu siyo mtu aliyezoea kashkash za ''kusulubiwa''.
 
Kijana tulia, Lissu hawazi kupeperusha bendera ya urais hats yeye anajua. Cdm wakikosea kumpitisha Lissu watajutaaa
 
Matapishi kajipange upya..
 
Nyalandu atakuja kurudi CCM siku moja. Huyu siyo mtu aliyezoea kashkash za ''kusulubiwa''.

Tunawaonya wajumbe wa Cdm, kitendo cha kumpitisha Nyalandu badala ya Lissu watakimaliza cdm. Huo mchezo wanaotaka kuucheza hivi sasa utakigharimu hicho chama. Wajue fika wakichemsha kwa mgombea wa urais, hata kwenye ubunge na madiwani wapiga kura wengi wa upinzani hawatajitokeza. Wajue hapa tulipofikia, sisi wafuasi ndio wenye nguvu kuliko kikundi cha watu wachache. Kosa la Lowassa lilipaswa kuwa la mwisho.
 
Kura halali 28

Nyalandu kura 28

Kisu kura 24

Mary kura 23

Mbona haviendani?
 
Hahahah Lisu asubiri 2025 tu,mziki wa magufuli hautouweza Safari hi
 
Ulivyo uma meno sasa rais wa tff
 
Sikiliza haya mahojiano. Dakika za kwanza tu anaelezea kura zilivyopigwa

Duh kumbe hii habari ni ya kweli, sasa naanza kuamini kuwa CHADEMA wamepanga kumpiga chini Lissu, ila ni vyema wakaja na hoja za kujustify uhalali wa kumdrop Lissu.

Professionally, Lissu is unfit to the Presidential job kutokana na kisaikolojia kutokuwa sawa, risasi 36 sio mchezo inahitaji muda kurecover even mentally, mfano ni kwa namna hoja za Lissu ukimsikiliza kwa makini utaona muda wote anazungumzia tukio lile pamoja na kuelezea madhira yake, vigumu kumsikia akiongelea atafanyia nini taifa.

Politically, Lissu ndiyo the right candidate kutokana na influence yake kwa wanachama walio wengi tofauti na hicho kikundi kidogo the so called kamati kuu. Nyalandu ni mzuri na anafit pia kuwa rais professionally ila kisiasa hana ushawishi mkubwa, otherwise chama kitumie nguvu kubwa kumnadi.

Last; kwa maslahi mapana ya chama, Lissu asipopitishwa italeta majeraha makubwa na huenda ikawa ndo downfall ya CHADEMA na the rise of ACT kwani Zitto hacheki na kima yupo kwenye dirisha la usajili kama Lampard na Chelsea msimu huu.
 
Hamtoacha kuweweseka Lissu ni The Greatest
Kama mlishindwa kwa Lowasa, mtaweza kugawana kura wapinzani. Hiki ni kituko cha Mwaka. 2015 wagombea Urais walikuwa wawili wengine walikuwa wasindikizaji tu, sembuse Mwaka 2020 wagombea Magufuli CCM, Membe ACT, Lissu/Nyarandu Chadema, Lipumba CUF, kuna wa NCCR na wasindikizaji wengine.
 
Endeleeni kutapa tapa ka kuku aliyechinjwa kichwa ....mnajitekenya na kucheka wenyewe ...kwn hata akiongoza kura za kamati kuu ndo atapitishwa bila mkutano mkuu?? Acheni upimbi bhna
 
Hahahahahahah mkuu Unaangaika na ID na sio content
 
Toka lini kamati kuu ikampitisha mtu kuwa mgombea wa urais bila mkutano mkuu kamanda??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…