Duh kumbe hii habari ni ya kweli, sasa naanza kuamini kuwa CHADEMA wamepanga kumpiga chini Lissu, ila ni vyema wakaja na hoja za kujustify uhalali wa kumdrop Lissu.
Professionally, Lissu is unfit to the Presidential job kutokana na kisaikolojia kutokuwa sawa, risasi 36 sio mchezo inahitaji muda kurecover even mentally, mfano ni kwa namna hoja za Lissu ukimsikiliza kwa makini utaona muda wote anazungumzia tukio lile pamoja na kuelezea madhira yake, vigumu kumsikia akiongelea atafanyia nini taifa.
Politically, Lissu ndiyo the right candidate kutokana na influence yake kwa wanachama walio wengi tofauti na hicho kikundi kidogo the so called kamati kuu. Nyalandu ni mzuri na anafit pia kuwa rais professionally ila kisiasa hana ushawishi mkubwa, otherwise chama kitumie nguvu kubwa kumnadi.
Last; kwa maslahi mapana ya chama, Lissu asipopitishwa italeta majeraha makubwa na huenda ikawa ndo downfall ya CHADEMA na the rise of ACT kwani
Zitto hacheki na kima yupo kwenye dirisha la usajili kama Lampard na Chelsea msimu huu.