Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

wewe ndiye mshenzi unayedhani kuhama chama ndiyo suruhisho!!!!!
Sina chama, naangalia mtu as an individual. Tatizo la CDM kila ikifika uchaguzi mnafanya mambo ya kijinga, last time mkampa Lowassa kugombea baada ya kumchafua miaka yote ghafla mkabadilika, leo hii mnataka mumpe mtu ambaye alisema wazi kua alitumwa na wamarekani kugombea, hahaha mna matatizo gani kichwani? Ningekua Lissu hata kuhama ningehama, mna mambo ya kijinga sana.
 
Chadema tatizo lilianziaga Kwa Lowasa, huu ni mwendelezo tu ya hayo maovu yake baada ya kuonja mchuzi wa mbwa, unadhani watakuja kuacha?

Hayo yatakoma pindi tu mmliki wa Chama atakapokuwa mdogo
 
Nyalandu hayuko kwenye mahesabu yetu, acha hao wajumbe wampigie kura, lakini mwenye ushawishi kwetu ni Tundu Lissu.
Lisu ana ushawishi kwako, lakini kwa wenye chama hana ushawishi, huo ndio ukweli, Nyalandu ni smart ana connection ulaya huko anao uwezo wa kufadhili kampeni zote za CHADEMA kuanzia udiwani, ubunge mpaka urais, unadhani Mbowe na wabunge wataacha kumuunga mkono
 
Muelekeo wako juu ya mapambano ya wapinzani kuiondoa ccm madarakani naona unatutia mashaka makubwa.
 
Huyu jamaa anatumiwa sana na ACT kutaka kuleta mifarakano na sintofahamu ndani ya cdm ili ACT ifanikiwe mipango yake.
Mkuu nakushaur uwe unanala mapema, kwasababu unaota ndoto ambazo haziwez kutokea
 
Mimi najiuliza, kwa nini Kamati kuu ya Chadema ione kuwa Nyalandu ni bora kuliko Lissu hadi Kumpa kura nyingi kumzidi Lissu?

Hii ni ishara kuwa kamati kuu ingependa wanachadema na Watanzania tumfanye Nyalandu awe raisi kuliko vile ambavyo ingependa kwa Lissu.

Anayedhani kuwa Maamuzi ya kamati kuu hayana impact kwa vikao vya maamuzi vijavyo huyo hajafikiria sawasawa.

Mara nyingi:
1. Wanachama huamini na huheshimu uongozi wa Chama na maamuzi yake.

2. Maamuzi ya kamati kuu hushawishi wanachama.

Kwa hiyo naamini maamuzi haya ya Kamati kuu yatakuwa yametuma meseji au Signal kwa kundi kubwa la Wanachadema na wananchi kuwa Uongozi wa Chadema ungependa zaidi Nyalandu awe mgombea kuliko vile ambavyo ungependa Lissu awe.

Ni jukumu letu sisi kuchambua, kwa nini Nyalandu awe bora zaidi kuliko Lissu katika macho ya uongozi wa Chadema?
 
Huyo jamaa anatumiwa na Zitto Kabwe kuivuruga cdm. Amini nakwambia huu ndiyo ukweli.

Tumesha mfuatilia sana kwenye nyuzi zake nyingi sana juu ya cdm hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa October.

Naona sasa nasi tutaanza kuwashughulikia ACT kuanzia viongozi wao mmoja mmoja hadi wabeba bendera kama huyu.
 
Mpaka muda huu hao Chadema bado hawajakanusha huenda basi ni kweli. Mungu nisaidie Siasa niwe Mshabiki tu wa kupita na si zaidi.
unadhani Nyalandu anavyozunguka nchi nzima kujitangaza ni mjinga? Lisu hana pesa za kuendesha kampeni za uchaguzi, mwenye uwezo huo ni Nyalandu pekee
 
Na sasa usimheshimu Kwa lipi sasa ambalo kakosea hapa?? Kuandika ukweli wa Kura zilivyoendeshwa siyo?
Kwani Razaro hajaongoza Kura za kamati kuu?

Upige Kura wewe, halafu umkasirikie mtoa maoni baada ya Kura zenu hizo za hila

Wewe ndio bule kabisa
 
Wanachofanya hao wajumbe ni haki yao, lakini Nyalandu hana ushawishi wowote kwetu sisi wapiga kura wa ukweli wa upinzani. Hayo maamuzi ya wajumbe ni halali, lakini hayana afya kwa mustakabali wa Cdm.
Wanachofanya hao wajumbe ni haki yao, lakini Nyalandu hana ushawishi wowote kwetu sisi wapiga kura wa ukweli wa upinzani. Hayo maamuzi ya wajumbe ni halali, lakini hayana afya kwa mustakabali wa Cdm.
kuna wagombea ubunge na madiwani wengi wa CHADEMA hawana uwezo wa kuendesha kampeni , unadhani bila msaada kutoka kwa Nyalandu watashindaje? Nyalandu ndio tegemeo pekee la CHADEMA kwenye kugharamia uchaguzi
 
Unatumiwa na Zitto kuivuruga cdm, sasa sisi wana cdm tunageuza mitutu yetu kuanza kuipopoa ACT yako, Zitto na washenzi woote mliopo huko.

Nimeanza kugundua kabisa kuwa ACT siyo chama cha upinzani bali ni vibaraka wa ccm ili kuzigawa kura za wapinzani wa kweli ili bwana wenu ccm aendelee kuitawala Tanzania.

Kuanzia sasa ni kuishambulia ACT na mabwana zenu ccm maana nyinyi siyo wapinzani wa kweli hapa nchini bali ni virus wa kuumaliza na kuugandamiza upinzani wa kweli.
 
Chadema hawana muda wa kujibu propaganda uchwara za CCM. Siku zote CCM ndo ilikuwa makini kiintelejensia kuviendesha nyama vya upinzani ila Safari hii Chadema ndo wako makini kimedani na wanawaendesha CCM kiintelejensia.
kwa hiyo na Nyalandu aliekiri hizo kura zilipigwa kweli ni muongo? nunua kifurushi hata cha mia tano nenda youtube kamsikilize Nyalandu mwenyewe
 
Nyalandu hayuko kwenye mahesabu yetu, acha hao wajumbe wampigie kura, lakini mwenye ushawishi kwetu ni Tundu Lissu.
ni kweli hayo ni mawazo yenu ila mmebuma, nyalandu na membe wako huko kuwanyongelea mbali hayo mawazo yenu, subiri mda si mrefu utapata majibu,
 
Huyu jamaa anatumiwa sana na ACT kutaka kuleta mifarakano na sintofahamu ndani ya cdm ili ACT ifanikiwe mipango yake.

Yaani wewe huoni tunafanya kila liwezekanalo CHADEMA wasimfanyie figisu Lissu na kutuletea huyo Nyalandu ambaye hauziki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…