Mbowe ashikiwa bango kutafuna milioni 800 za ujenzi wa ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA

View attachment 886186

Gazeti la Fahari Yetu limeandika tuhuma dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, likimhusisha na matumizi ya milioni 800 za ujenzi wa jengo la ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Gazeti hilo limedai kuwa, Mbowe alikiuka Azimio la Kikao cha Kamati Kuu ya Chama na kuamua kutumia fedha hizo kwa matumizi yake binafsi. Inaelezwa kuwa:
  • Mbowe alinunua nyumba Dubai kwa fedha za Chama.
  • Michango ya watu binafsi kwa Chama kama akina Mzee Sobodo haijulikani zilichukuliwa lini na kwa mfumo gani na hatimaye kutumikaje.
  • Fedha zilizopatikana kupitia "Fund Raising Events" mbalimbali kama za Dar na Mwanza hazijawahi kuonekana.
  • Malalamiko kwa Mbowe kujilipa fedha kwa mnadai ya kukikopesha milioni Chama milioni 700.
  • Malalamiko dhidi ya Mbowe kukiuzia Chama magari chakavu kwa zaidi ya milioni 600 ambapo kabla ya kuyauza kwa Chama, alikuwa akiyakodisha kwa Chama.
  • Malalamiko kwa Mbowe kununua LandCruiser V8 VX 2 kwa pesa za Chama na kisha kukiuzia Chama.
  • Ripoti ya CAG ya 2016/2017 imeonyesha namna fedha za CHADEMA zinavyotafunwa na wajanja wachache.
Kulingana na Gazeti la Fahari, kila anapojitokeza Kiongozi yeyote ndani ya CHADEMA kuhoji juu ya matumizi ya fedha za Chama, wanajitokeza wapambe wake wa kumtetea kwa kutumia hoja za nguvu badala ya nguvu ya hoja. Hivyo kwa mtaji huo wa kujichotea fedha bila kuhojiwa ama kuulizwa chochote, Mbowe hawezi kuachia nafasi ya Uenyekiti wa Chama.

View attachment 886175
kabla ya kuhangaika na ruzuku isiyowahusu acheni kuwashwawashwa backdoor hebu tuambieni ile 1.5TRIONI imeyeyukia wapi?
 
Mkuu hii ndio ID mpya ya Mgambilwa ni Mntu ?
 
Hii ndiyo raha ya kuongoza nyumbu wanachokijua ni kushangilia tu.

Piga pesa mbowe piga pesa
 
Siku hizi gazeti la fahari ndio vikao vya chama CHADEMA?!
 
View attachment 886186

Gazeti la Fahari Yetu limeandika tuhuma dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, likimhusisha na matumizi ya milioni 800 za ujenzi wa jengo la ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Gazeti hilo limedai kuwa, Mbowe alikiuka Azimio la Kikao cha Kamati Kuu ya Chama na kuamua kutumia fedha hizo kwa matumizi yake binafsi. Inaelezwa kuwa:
  • Mbowe alinunua nyumba Dubai kwa fedha za Chama.
  • Michango ya watu binafsi kwa Chama kama akina Mzee Sobodo haijulikani zilichukuliwa lini na kwa mfumo gani na hatimaye kutumikaje.
  • Fedha zilizopatikana kupitia "Fund Raising Events" mbalimbali kama za Dar na Mwanza hazijawahi kuonekana.
  • Malalamiko kwa Mbowe kujilipa fedha kwa mnadai ya kukikopesha milioni Chama milioni 700.
  • Malalamiko dhidi ya Mbowe kukiuzia Chama magari chakavu kwa zaidi ya milioni 600 ambapo kabla ya kuyauza kwa Chama, alikuwa akiyakodisha kwa Chama.
  • Malalamiko kwa Mbowe kununua LandCruiser V8 VX 2 kwa pesa za Chama na kisha kukiuzia Chama.
  • Ripoti ya CAG ya 2016/2017 imeonyesha namna fedha za CHADEMA zinavyotafunwa na wajanja wachache.
Kulingana na Gazeti la Fahari, kila anapojitokeza Kiongozi yeyote ndani ya CHADEMA kuhoji juu ya matumizi ya fedha za Chama, wanajitokeza wapambe wake wa kumtetea kwa kutumia hoja za nguvu badala ya nguvu ya hoja. Hivyo kwa mtaji huo wa kujichotea fedha bila kuhojiwa ama kuulizwa chochote, Mbowe hawezi kuachia nafasi ya Uenyekiti wa Chama.

View attachment 886175
zile kamera kwenye tukio la kutaka kumtoa uhai kamanda LISSU mlizipeleka wapi
 
Mtashindwa tu
sasa si mpeleke Takukuru
Wameona kununua wanasiasa haitoshi sasa wamehamia kwenye majungu.

Mtapata tabu sana!
Mtapata taabu sana na Mbowe
Yaani unasema Mbowe kanunua magari matano lakini hutaji hata namba moja ya mojawapo ya magari hayo!?
Wanahangaika Sana yaani Kila siku Mbowe , Mbowe , Mbowe Kila siku. Inaonesha ni jinsi gani kawakaba Koo,. Na inatuonesha yeye ndiye kikwazo kikubwa Sana kwa Mambo yao. Kama sio Mbowe Mambo yao yangekuwa sawa.
 
Sasa kwenye hicho kijarida kuna ukweli gani ulioandikwa?
Haya madai hayakuanza leo kwani hata aliyekuwa kaimu mwenyekiti wa CDM. Marehemu Chacha Wangwe aliwahi kuliongelea hili na akatoa uthibitisho akaonekana mbaya na msaliti.
Ama kweli jicho linalopenda Upofu huuona kengeza.
 
Madai huhitaji ushahidi na sisi ndiyo tunataka huo ushahidi wa ufisadi wa Mbowe mnaodai kaufanya. Wangwe hakuwahi kubishana na Mbowe kama kuna ufisadi bali mabishano yao yalikuwa kama ni kiasi gani cha fedha kipelekwe Majimboni, Wilaya, ama mkoani na kiasi gani kibakie Makao Makuu.

Halafu huo msemo ni " mtu akipenda chongo huita Kengeza" na siyo "Jicho linalopenda upofu huuona Kengeza"
 
Hebu ingia humu ndani jamvini usome kutoelewana kati ya mheshimiwa chacha wangwe na uongozi mzima wa CDM[maana walimtenga na mwenyewe aliwahi kusema hivyo.] Hata hivyo waswahili husema 'KIPENDACHO ROHO, DAWA'
 
Gazeti hilo limedai kuwa, Mbowe alikiuka Azimio la Kikao cha Kamati Kuu ya Chama
Hiyo kamati iliketi lini na nani walishiriki? Je. maazimio gani mengine yalipitishwa na kamati hiyo zaidi hizo ela 800 mil za kujenga ofisi makao makuu? Hatutaki kusingiziana....tunataka facts.
 
Huyu jamaa tangu achukue mzigo kwa Lowassa hajawahi kaa sawa
There is no free lunch
Billions zimeliwa kwa gharama ya kifo cha chadema
Wenzie wanajua hilo ndio maana wanasepa mmoja mmoja
 
Unataka matusi toka kwa wanachama wa chuo cha matusi.
 
View attachment 886186

Gazeti la Fahari Yetu limeandika tuhuma dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, likimhusisha na matumizi ya milioni 800 za ujenzi wa jengo la ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Gazeti hilo limedai kuwa, Mbowe alikiuka Azimio la Kikao cha Kamati Kuu ya Chama na kuamua kutumia fedha hizo kwa matumizi yake binafsi. Inaelezwa kuwa:
  • Mbowe alinunua nyumba Dubai kwa fedha za Chama.
  • Michango ya watu binafsi kwa Chama kama akina Mzee Sobodo haijulikani zilichukuliwa lini na kwa mfumo gani na hatimaye kutumikaje.
  • Fedha zilizopatikana kupitia "Fund Raising Events" mbalimbali kama za Dar na Mwanza hazijawahi kuonekana.
  • Malalamiko kwa Mbowe kujilipa fedha kwa mnadai ya kukikopesha milioni Chama milioni 700.
  • Malalamiko dhidi ya Mbowe kukiuzia Chama magari chakavu kwa zaidi ya milioni 600 ambapo kabla ya kuyauza kwa Chama, alikuwa akiyakodisha kwa Chama.
  • Malalamiko kwa Mbowe kununua LandCruiser V8 VX 2 kwa pesa za Chama na kisha kukiuzia Chama.
  • Ripoti ya CAG ya 2016/2017 imeonyesha namna fedha za CHADEMA zinavyotafunwa na wajanja wachache.
Kulingana na Gazeti la Fahari, kila anapojitokeza Kiongozi yeyote ndani ya CHADEMA kuhoji juu ya matumizi ya fedha za Chama, wanajitokeza wapambe wake wa kumtetea kwa kutumia hoja za nguvu badala ya nguvu ya hoja. Hivyo kwa mtaji huo wa kujichotea fedha bila kuhojiwa ama kuulizwa chochote, Mbowe hawezi kuachia nafasi ya Uenyekiti wa Chama.

View attachment 886175
ACHA ALE MBONA 1.5 TR ZIMELIWA NA HUYO BABA YAKO? WACHA NA YEYE ALE! PUMBAVU
 
Nyote ninyi wapika majungu
 
Back
Top Bottom