Kwanini msikinukishe?Hakuna ukweli hapa mkuu. Mawakala wote wa Chadema Jimbo zima la Hai tulitolewa nje na kutfanyiwa vitimbi wakati wa zoezi la kuhesabu kura.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sehemu gani dada?Tuko barabarani
Imetangazwa mapema sana na TBC kwa sababu maalumu kabisa!
Hivi kuna matokeo mengine tena ya jimbo la Hai?
Mbona Polisi OCD alishamwambia Mbowe! wiki moja iliyopita.
JokaKuu Nyani Ngabu Pascal Mayalla
Hizo saini zote ni fake. Hakuna aliyesaini. HatukuwepoKwa nin mkakubali kusaini sasa?
Nakumbuka Lisu alioomtukana Magu eti kajenga uwanja kwa ajili yake na mamaakeErythrocyte Salary Slip Sky Eclat Retired etc. Nini nimekuwa nasema hapaaaaaaaaa JF. Mache upuuuzi siku nyingine. JPM anapendwa piga ua. Mungu mkubwa kwa Tundu Lissu aone kuwa matusi hayana tijaaaaaaaaaaaa.
NEC anashindwaje kujuaKama CCM wameweza kupata makaratasi ya kupiga kura wakapiga kura bila NEC kujua watashindwa kuziingza kwenye masanduku ya kura bila mawakala kujua?
OKW BOBAN SUNZU nilimweleza kuwa ana mikosi, anashabikia simba inachapwa na sasa anashabikia Toto tundu nalo litachapwa asubuhi. 80,000 kwa 27,000 ati watu waandamane wakati watoto wake wapo ulaya. Huyu mbinafsi sana. Natafuta ile clip ya OCD niiweke alisema ukweli. 'Hivi mnadhani mnaweza kumshinda?" na 'wewe unategemea kushinda' . Anatakiwa awe IGP.Nakumbuka Lisu alioomtukana Magu eti kajenga uwanja kwa ajili yake na mamaake
Kiongozi ukitawala muda mrefu watu wanakuchoka.Huenda kweli Mbowe walimchoka.Mtihani mkubwa ni kuwa Huyo aliyeshinda inabidi afanye kitu kitakachoonekana.OCD ni maneno tu yale, ambayo hakutakiwa kuy5asema ila sio sababu. Sasa nyie mtajisahau na kùjiuliza mmekosea wapi na mtajikita na hayo maneno. Ukweli ni kua wanahai walimchoka mbowe hata ktk mikutano yake walihoji maswali magumu kwa mbowe..
Na kauli ya kauli za jpm na majaliwa pale hai za tunataka connection, mnajichelewesha wenyewe yaļikua ni chachu.
NEC anashindwaje kujua
Gepu kubwaHuko mbeya mjini sugu chali kapata kura elfu 37591 na kwansasu kura elfu sabini na ushehe
Acha porojoHizo saini zote ni fake. Hakuna aliyesaini. Hatukuwepo
Hii ni rasmi mbowe chali, soma ubao hapo chini ya runingaErythrocyte Salary Slip Sky Eclat Retired etc. Nini nimekuwa nasema hapaaaaaaaaa JF. Mache upuuuzi siku nyingine. JPM anapendwa piga ua. Mungu mkubwa kwa Tundu Lissu aone kuwa matusi hayana tijaaaaaaaaaaaa.
Yaani kwenye msimu wa Kampeni ulitaka aseme kuwa Lissu hajaifuta CCM?Bado nipo na uharo wa Erythrocyte ati Tundu lissu kaifuta CCM. Nyie na huyo Tundu Lissu ni vichelema katika Siasa za Tanzania. Halafu ndugu yangu barafu badilika
Endelea na mihemuko yako, kawaulize mawakala wa Chama Cha Mbowe wakupe matokeo.
Jimbo la hai unajua mipaka yake ni ipi?Hivi ni vichekesho, pale hai wapiga kura sidhani kama wanafikia elfu arobaini, sasa hii ya kuwa na kura zaidi ya laki moja sijui imekaaje