Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
CCM ni kikundi kidogo sana cha watu kinacholindwa na dola na tume ya uchaguzi kuendelea kubaki madarakani, nje ya hapo hawana lolote.
Mbowe alipigwa maweUliona ule mkutano wa Lissu Hai? Umeona mikutano ya Mbowe mwenyewe? Kwanini watu walikuwa hata kuhudhuria hawakwenda?
Kwa hiyo upinzani ukifa wewe unapata faida gani? Unajua akili zako hazina akilim....weka utu na utanzania kwanza..tunahitaji jicho la upinzani kwa maendeleo ya Nchi.Kwani wewe uliamini Mbowe angeshinda ubunge? Mbona raia wake walishasema kitambo kuwa hawatamchagua kipindi hiki kutokana na uzwazwa wake. Inabidi arudi tu kuiba mali za chama chake kabla hakijafa.....chezea Magufuli weyeeee, si aliwaambia upinzani utakufa katika utawala wake. Mwangalieni zezeta Zitto anavyohaha kila kukicha yuko huku mara kule haelewi anafanya nini. Lipumba na Maalim Seif hivyo hivyo, wanashikana uchawi na hawajitambui.
Sasa wao chama si kipo mioyoni ama umesahauWe unasema toka 2015 wakati ana zaidi ya miaka 10 ukitia ule mwaka aloshinda Fuya Kimbita hamna alichofany migogoro shamba la KIA ameshindwa.
Barabara ya mferejini tu kumbwe hajaifanyia kitu anaita ya ngombe baadh ya vijj vya Rundugai hadi leo havina maji halafu unajiita Mbunge 😁😁 Kila kitu kina mwisho "Ndani ya Saa 72 Kuanzia Sasa Naenda Kuwa Waziri Mkuu" Naleft
Kwa akili yako huu upinzani tulionao ni upinzani kweli au ni genge tu la kihuni?Kwa hiyo upinzani ukifa wewe unapata faida gani?....unajua akili zako hazina akilim....weka utu na utanzania kwanza..tunahitaji jicho la upinzani kwa maendeleo ya Nchi.
Unadhani upinzani halisi utapatikana kwa kuongozwa na CCM peke yake..?Kwa akili yako huu upinzani tulionao ni upinzani kweli au ni genge tu la kihuni?
Mbeya mjini Dr. Tulia kamuacha mbali MbilinyiAmenuia Mbowe, Lema, Heche, Sugu, Msigwa, Mdee, Bulaya, Ruge, Peneza, Kishoka wasirudi mjengoni.
Huu upinzani wa CHADEMA nao tunauita upinzani kweli tuko serious? Makinikia inakamatwa halafu mnatetea wazungu, Wala Rushwa wanatumbuliwa mnawatetea. Huu upinzani wa kupinga kila kitu, Huu upinzani wa kusodoa kila kazi njema inayofanywa na seriklali kweli nao tuite UPINZANI!Kwa akili yako huu upinzani tulionao ni upinzani kweli au ni genge tu la kihuni?
😲Mbowe alipigwa mawe
Tujiandae kwa mateso zaidiHii ndo event iliobaki
Tangazeni basi ushindi wa CCM kupita bila kupingwa Tanzania nzima. Mnasubiri nini?Bado kinda yule, unajua ukizidisha uongo watu wanachukia. Hapa JF tunataka kupata taarifa za ukweli si ushabiki wa kitoto kama wa akina Erythrocyte na marafiki wake. Hata Yeriko Nyerere nilimsangaa kama si kumshangaa. Dada yangu Sky Eclat namjua hata kwa sura ila alichokuwa anaandika hapa, mungu anajua..