Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Labda sasa Tanzania itakuwa kama Ulaya baada ya wapinzani kutorudi Bungeni.
Kuna kauli moja niliwai kuisikia hata wakati tupo kwenye mfumo wa chama kimoja wakina Anna Makinda na wengine ndani ya bunge waliteuliwa kuwa wapinzani...

Magufuli hapendi kupingwa toka moyoni yaani ukimpinga tu kosa...

Zile hoja za wapinzani zinamfanya akose usingizi yeye anataka kusikia tu kila siku ooh Yesu, hakuna kama yeye, yeye ni chaguo la watanzania nk

In short, figisu nyingi zimetumika kuhakikisha miiba mikali kwao hairudi bungeni.

Hii ilianza kipindi cha nunua nunua, kauli yake ya atahakikisha upinzani kabla ya 2020 umefutika na hata kwenye uchaguzi nguvu iliyotumika kwa baadhi ya majimbo ya upinzani kama Kawe na Hai ni kubwa. Kawe wamekamata kura feki za kutosha.

Kikubwa upinzani ni imani ambayo haiwezi futwa...
 
Ngoja waamke vijana wa Lumumba na kauli zao za kutetea dhambi..
 
CCM kimebaki chama cha midomoni tu kwa waimba taarabu kama wewe.

Huko field hamna kitu ni kujaza kura feki tu.
 
Haya, endeleeni kuuguza maumivu. Yatapona tu.
 
Hehehee haya.

Maumivu yakizidi wanywe panado..
 
Ila kwa graph ya 2015 Mbowe kushinda Hai ilikua 50/50
 
Ila kwa graph ya 2015 mbowe kushinda Hai ilikua 50/50
Una justify vipi ushindi wa hilo pengo la kura kwenye mazingira ya uchaguzi yaliyogubikwa na utata kila kona ya nchi?

Hata kama walikuwa close last time, hiyo sio sababu this time ashindwe kwa pengo la kura karibia sitini elfu, it's all fake!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…