Hata Zitto. Harudi. Ndio maana wamezima mitandao wanajua wameiba kura ubunge na urais. Yaani Tanzania inakwenda kuwa nchi ya ajabu ya bunge la ndiyo mzee na watapitisha kuwa Rais wa maisha.Amenuia Mbowe, Lema, Heche, Sugu, Msigwa, Mdee, Bulaya, Ruge, Peneza, Kishoka wasirudi mjengoni.
πBunge la kumfanya Magufuli kuwa Rais wa maisha.
meza wembe πππ af c mljinasibu mna VPN?Ndo maana wamezima internet. Hakuna mbunge wa upinzani atashinda ubunge. Na Magufuli anakwenda kuwa Rais wa maisha.
Wewe cheka tu. Ila utaona jinsi maisha yanakwenda kuwa magumu. Kama upo nje ya nchi jiandae kutuma hela mara tatu ya ulivyokuwa unatuma kwenu.meza wembe πππ af c mljinasibu mna VPN?
haya kasemmeeni kwa Amsterdam sasa ππ
Nini maana ya kuwa na mawakala? Kwa nini amekubali matokeo kutangazwa?
Hata Zitto.Harudi.Ndo maana wamezima mitandao wanajua wameiba kura ubunge na urais. Yaani Tanzania inakwenda kuwa nchi ya ajabu ya bunge la ndiyo mzee na watapitisha kuwa Rais wa maisha.
Nimewaza mbali mno. Hichi kizazi kitakuja kusema nini dhidi yetu?Bunge la kumfanya Magufuli kuwa Rais wa maisha.
Imekuwaje tena mamie? Lile jeshi la Twitter limewasaliti et?πππWewe cheka tu. Ila utaona jinsi maisha yanakwenda kuwa magumu. Kama upo nje ya nchi jiandae kutuma hela mara tatu ya ulivyokuwa unatuma kwenu.
Mapema Sana OCD alisema hatoshinda
Hata Zitto.Harudi.Ndo maana wamezima mitandao wanajua wameiba kura ubunge na urais. Yaani Tanzania inakwenda kuwa nchi ya ajabu ya bunge la ndiyo mzee na watapitisha kuwa Rais wa maisha.
Tunaenda kutembelea matako sasa.. Tutanyooka vibaya mno.Ndo maana wamezima internet. Hakuna mbunge wa upinzani atashinda ubunge. Na Magufuli anakwenda kuwa Rais wa maisha.
Well said mkuu for sure kilichotokea hata anguko la lema Arusha Ni mwitikio mdogo wa watu kupiga kura.... CCM imepata kura zake za 2015 lakini za CDM zimepungua maana hawakwenda kupiga kuraSijajua mnalalamika nini, wakati wenzenu CCM wanahamasisha watu wao wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura nyie mlikuwa busy na mitandao.
Haya wamehamasishana wakapige jura nyie mko busy kupost upuuzi kwenye mitandao, leo mmepigwa bao mnalalamika kuibiwa.
Mawakala wenu si walikuwepo vituoni ama mmeibiwaje?
MaCCM yanafikiri yao yatakuwa salama!?? SubiriMiaka mitano ijayo maisha yatakuwa magumu zaidi kuliko 2015 to 2020. Mikanda itafungwa kupita kiasi na umaskini utakithiri kuliko ilivyo sasa.
Yaani itakuwa balaa. Magufuli anaturudisha kuishi enzi za Nyerere hata ambao tulizaliwa Nyerere akiwa kishaondoka madarakani. Too sad kwa Taifa letu.Tunaenda kutembelea matako sasa.. Tutanyooka vibaya mno.
Wameiba kura. Mbowe kashindwa kwa kura hewa na watafanya hivyo kote kwenye miamba ya upinzani hata Zitto atashindwa.imekuwaje tena mamie? lile jeshi la Twitter limewasaliti et?πππ
au kura mlipigia JF badala ya polling station?