Tetesi: Mbowe atuma barua ya siri kwa Rais Magufuli kuomba amuangalie kwa jicho la huruma

Kwanini yeye afanyiwe hivyo
Inashangaza kwa kiongozi kuomba hayo.. wanachi wengine wa kawaida si watachukua mfano wake kuvunja sheria makusudi.. wakiamini wataandika barua kama yeye na kufanyiwa hayo..

Raisi alishasema huwa aingilii yaliyopo mahakamani.. yeye anataka nae avunje sheria?

Atulie na kudili na makosa yake.. usuugu na ugwangwe wake asali Mola amsimamie kwa kumtendea miujiza.
 
Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais

Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,

kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,

ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM

Source niko masijala ya sehem muhimu - husika

BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
Nyinyi watetezi wa CCM mtaacha lini propaganda za kijinga jinga? Mnapaswa mtambue kuwa watanzania wana Akili nyingi kuliko nyie vilaza wachache.
 
Awamu ya roho mbaya....itapita na mbowe ataludi uraiani na kazi zitaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app

Walikuwepo akina mabutu, Gadafi, sadam Hussein, Bokassa, Abacha, chiluba, Iddy Amin dada aliyekuwa na msaidizi wake aliyeitwa colonel Maliyamungu alikuwa na roho mbaya kama ya cyprian Musiba na Bashite leo hii wapo wapi?
 
Kwanini yeye afanyiwe hivyo
Inashangaza kwa kiongozi kuomba hayo.. wanachi wengine wa kawaida si watachukua mfano wake kuvunja sheria makusudi.. wakiamini wataandika barua kama yeye na kufanyiwa hayo..

Raisi alishasema huwa aingilii yaliyopo mahakamani.. yeye anataka nae avunje sheria?

Atulie na kudili na makosa yake.. usuugu na ugwangwe wake asali Mola amsimamie kwa kumtendea miujiza.

Acha ufala wewe hakuna cha Barua toka kwa Mbowe wala nini, Tumbua kuwa mbowe kaamua kuvumilia Uonevu na ukandamizaji demokrasia unaofanywa na Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite na mtukufu malaika toka chato mpaka mwisho wake, huwezi kuandika barua wala kuomba chochote kaamua kukomaa mpaka mwisho.
 
leo kwa mbowe.kesho kwako na kwangu.
TUISHI KWA KUTENDA HAKI.
licha ya kukiuka masharti ya Mahakama.
MBOWE HAKUWA NA KESI YA KUJIBU.
ni Chuki.
Nadhani azoee tu, kuna watu wangapi wapo mahabusu kwa kukeuka taratibu za mahakama? Aendelee kusota ili liwe fundisho la kutenganisha uadilifu na uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais

Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,

kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,

ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM

Source niko masijala ya sehem muhimu - husika

BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL

Mkikamatwa kwa kutoa taarifa za masijala ya siri mnasema serikali ya kidicteta wakati mambo mengine mnajitafutia wenyewe matatizo,
Ww unadhani kila jambo ni la kuleta kwenye mitandao eh
 
Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais

Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,

kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,

ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM

Source niko masijala ya sehem muhimu - husika

BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
Mmeshaanza propaganda zenu za maandalizi kama wakati wa Sugu ili mahakama ikifanya uamuzi mseme ni kwa hisani ya Jiwe. Pambaf waheed
 
Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais

Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,

kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,

ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM

Source niko masijala ya sehem muhimu - husika

BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
Barua ya siiri, lakini wewe umeelewa kilichoandikwa kwenye barua ya siri!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana wala si rais aloagia akae ndani sema mbowe mawazo yake anadhani rais ndo mwenye uwezo wa kumaliza suala hili kumbe siyo
Mahakamaccm hazifanyi kazi kwa mujibu wa sheria pindi wakiwa na kesi za mwana chadema yeyote bali hufanya kazi kwa mujibu wa Amri toka juu na zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM tu, mahakamaccm haipo huru tena.
 
Huu ni uzi wakijinga sana, unapiweka uzi kwanza jiulize, utasomekaje, uzi ni kwa ajili ya watu wa aina gani, una madhara gani kwako.

Kwa mleta uzi, umeonyesha ujinga ulivyokutawala. Kiongozi kama mbowe hata kama anaomba msamaha huwa haweki kumbukumbu ya maandishi, kuna washenga kazi yao ni kama hiyo.

Mods huu uzi haustahili kuwa hapa uondolewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
atakuwa anamkomoa nani kama sikujikomoa mwenyewe anaesota rumande ni yeye

Watawala ndio huwa wanaogopa rumande, lakini rumande kwa kiongozi wa upinzani kwenye nchi ya kidictator ni jambo la kawaida sana.
 
Acha ufala wewe hakuna cha Barua toka kwa Mbowe wala nini, Tumbua kuwa mbowe kaamua kuvumilia Uonevu na ukandamizaji demokrasia unaofanywa na Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite na mtukufu malaika toka chato mpaka mwisho wake, huwezi kuandika barua wala kuomba chochote kaamua kukomaa mpaka mwisho.

Eeeeeeeeh
Uchungu umekujaaaaa
Nimekumbuka alipokuwa anachekelea kwa picha ka vile hashikiki kutuonyesha sheria haiwezi mfikia... lini tena anarudi mahakamani?
 
Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais

Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,

kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,

ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM

Source niko masijala ya sehem muhimu - husika

BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
Kama no siri wewe umeipataje wacha ushamba wa kisiasa.
 
inawahusu nini wa hapa

inakuhusu wewe mbumbumbu zuzu kilaza ujue kuwa Utakufa tu na hao boss zako cyprian Musiba, Le mutuz na Bashite pamoja na mtukufu ipo siku watakufa hakuna atayeishi milele endeleeni kuwanyanyasa kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi lakini ipo siku watajutia ubaya wao
 
Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais

Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,

kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,

ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM

Source niko masijala ya sehem muhimu - husika

BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
Anataka JPM aingilie uhuru wa MAHAKAMA?
 
yeye wala ishu si kunyongwa ishu ni kufungwa kabisa maana anaona kesi hii imemkalia visivyo
Hujui utaratibu wew tulia upige zumari hapo unaona kuna kesi au unafikir bila kuelewa sheria.
 
Back
Top Bottom