Mbowe audhibiti mdomo wa Tundu Lissu

Serikali ,haijajibu hoja zake mwaka Sasa unaishi ,jiulize pamoja na serikali inawataalamu lakini hoja hazijajibiwa
Hoja zipi ambazo hazijajibiwa au unataka upewe majibu Kama uliyonayo kwenye mfuko wako wa suluali
 
Maridhiano DJ aliyafanya Siri, makubaliano ya maridhiano anayaficha ndio maana Chiba anaona Kama wenzake hawako pamoja, hata Green City inagawanya ili mwanahip hop apewe Jimbo lakini kwa ujinga wake anataka kumfuata mh mic. Tunza risiti hii DJ kashazima muziki.
 
Kwa standard ya kusifia na kulamba matako nakubaliana na wewe
 
Lukas

kaka Yako pale ivumwe sec ,anaendeleaje ,mana akilizenu zinalingana kwakila kitu
Acha Dharau kwa mwalimu aliyekufundisha ,Tena Naamini ungepitia mikononi mwake ungekuwa na adabu, maana ofisi Yao chini ya mwalimu Tobi bila kumsahau mwambugusi ilikuwa haitaki wajinga wajinga Aina yako, Kama Ni A level naamini akina mwalimu Albert ,mwalimu kisenene,mwalimu yasini bila kuwa sahau mwalimu mwangosi, madam masaili, n.k.wangekufunda adabu ili ukija hapa jukwaani uwe unaandika hoja zenye mashiko
 
Lukas ungejikita na kilimo tu siasa waachie akina lisu
Ndio mkuu Naendelea vyema kabisa na shughuli zangu za kilimo huku nikiendelea kufuatilia kwa karibu Sana siasa ,maana Siasa ndio maisha yenyewe ,huwezi ukasema unajitenga na siasa wakati unajuwa maamuzi ya kisiasa Yana mchango katika maisha yako na shughuli zako za kiuchumi.
 
Dr Tulia Ackson mwansasu Ndio Chaguo la Wana Mbeya na hakuna wakumtoa pale Mbeya
 
Acheni Lissu atusemee, ... haiwezekani watu tufanye maridhiano bila ya kuondoa misingi ya kuhitilafiana kwetu! PERIOD!
✌️✌️✌️👊💥
 
Nawafahamu wote hao

Walimu olevo
1) tobby ,mwl lakini ni polisi na kwasasa mkuu washule ya wazazi pale chimala
2) mwabugusi
3) mwashamba (kaka)
Hawa walikuwa ofisi ya nidhamu

Walimu Aleval
Albert ,mwl geog 1

Kisenene ,geog 1 na genera study
Yasini geog 2

Madam masail eng 1

Mwangosi ,kiswahili ,nakwasasa mkufunzi chuo kikuu RUCU iringa

Wote hao na walimu wengine shule zawazazi mbeya ,wannifahamu

Nilikufatilia Sana hojazako nikaona hapana wewe lazima unaundugu na mwashamba na wewe niyule mdogo wake....kwahiyo punguza mbwembwe mkuu,ccm inawenyewe
 
Kwamba leo,Lucas uwe mshauri wa Chadema na Mbowe? Akili hiyoo itokee wapi? Umechoka kuimba pambio za kusifu Wakumbozi ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…